Uzi maalumu kwa ajili ya vijana 19-25years

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,836
#Semanao
Kama wapo vijana katika umri uliotajwa hapo juu huu ni Uzi kwa ajili yenu all genders no discrimination...

It seems like mpo kimya na wapekwe Sana humu ndani.
Tiririkeni hapa....Fanyeni kama MNA comment.
Ongeleeni chochote utambulisho,mahusiano,urafiki au Kama forum inavyosema ChitChat
Myself the thread creator I'm a youth..
My age is 19 yrs old..

Welcome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom