NYUMBA INAUZWA
DETAILS
Ni nyumba ya vyumba vitatu(viwili ni masterbed rooms) pia vyumba hivi vina sitting area
Pia imejengewe upper room ya chumba na sebule na (chumba ni master na sitting area)
Vile vile ina eneo la nje ambalo lina single rooms mbili(moja ni master room na sitting area)
Pia nyumba hii ina;
-dining
-sitting
-jiko mbili(ya ndani na nje na lenye sitting area)
-public toilet mbili(ya ndani na nje)
-Inner parking(parking ya ndani) ya kutosha gari tatu)
Ni nyumba yenye design nzuri sanaa na ya kipekee
SERVICES
Ina enough suppy ya maji ya dawasco pamoja na ya mvua.
-ina matank ya maji ya jumla lita 13000.
Umeme wa tanesco pamoja na solarpanel za ziada kama umeme wa tanesco utakuwa umekatika.
Ipo karibu na hospitali ya palestina
LOCATION
nyumba ipo sinza palestina
Upande wa kushoto kama unaenda shekilango
DISTANCE &TIME
Ipo mita 300 toka shekilango road
Dakika 5 mpaka hospitali ya sinza palestina.
DOCUMENTS
Eneo limepimwa na lina hati miliki(title deed)
BEI
Tsh milion 300/mazungumzo yapo
SIFA ZA ZIADA
Ni nyumba nzuri sana na yenye design ya kipekee ambayo unaweza kuishi na wapangaji wa tatu(katika master room,single room ambazo zipo chini na chumba na sebule na choo ambayo ipo juu)
Sent using
Jamii Forums mobile app