Huu mtego maana hobby nyingine kusema hadharani ni dhambi πππHabari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Mimi napenda
-kusikiliza muziki hasa wa pop,reggae,country,R&B,trap na jazz
-kuchora(sketching/drawing)
nitaleta picha nazochora soon
-kusoma hasa maandishi tu, ndio maana navutiwa na JF sana.
-kuangalia movies genre nazopenda ni documentary,comedy,horrors na action.
Share chochote kuhusu hobbies zako humu kwa picha,kusimulia,na kutaja.
OK endelea kulala tu master sio vibaya pia.Nice! π meditation huwa zinanishinda najikuta nasinzia au sifocus
We ni ke mkuu πKufanya mazoezi ya yoga na meditation na kusoma vitabu mbalimbali.
Kwakweli πππhaha π noma sana share kimoyomoyo
Kwamba ke ndio wanafanya niniWe ni ke mkuu π
ππππdhambi
Yoga nataka sana kupata training zake zile za you tube naona kuzifata inakuwa ngumuKufanya mazoezi ya yoga na meditation na kusoma vitabu mbalimbali.