Uzi maalum kwa wauzaji wa vifaa vya simu

Habarini wadau!
Hivi maduka ya jumla ya vifaa vya simu yanapatikana wapi kwa pale kkoo?
Nina mpango nimuanzishie duka la vifaa vya simu mke wangu.
 
Namba yako pls ni chek whatsapp 0768317778
 
Mkuu hio mil15 ni pamoja na mtaji na nauli ya go an return?,na je hapo utapata faida kweli?
 
Heee wanabody huu uzi vp,mbona kimya!?
wadau tupieni bidhaa mpya humu kama zipo,makava,aerphones,cover,memory n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…