Raida911
Senior Member
- Aug 6, 2018
- 156
- 47
SIMU
Nicheck wassap 0784757203
SIMU
Namba yako pls ni chek whatsapp 0768317778Asante ndugu
Bei za jumla zinafuatana
Maana kila siku kuna toleo jipya
Kwa mfano makava huwa yana uzwa kulingana na fashion yake na kwa wakati Fulani
Ukija chaji ninavyo jua Mimi kuna za kuanzia (1000 mpaka 2000) hizi ni kwa chaji za chini kabiasa
Hizi ni bei za jumla bei ya kuuzia utangalia wewe
Ukija chaji zinazo fauatia hapo zinaanzia (2500 mpaka 5000)
Hizi ni bei za jumla kuuza utachagua wewe
Zipo chaji mpaka za kuanzia (8000 mpaka 15000)
Hizi ni bei za jumla kuuzia uaangalia wewe
Earphones bei ya jumla inaanzia (1000 mpaka 1500)
Na zingne zinaanzia (2000mpka 5000)
Bettery za kawaida zinaanzia 1000 mpaka 2000
Bettery olginal zinaanzia 5000 na kuendelea
Hizi bei nimetaja kwa mtu unae anza ila kama umekamilika
Utaongeza na vingne zaidi
OK mkuu nicheck pmNamba yako pls ni chek whatsapp 0768317778
Mkuu hio mil15 ni pamoja na mtaji na nauli ya go an return?,na je hapo utapata faida kweli?Garama za usafir andaa dola 2000+
Mtaji unaweza anza na mil. 15
Ila ukitaka upate faida kutokana na kufata mzigo China.
Jitahidi kuepuka kutumia bandari yetu hii
Pale mzigo unaeza fika mapema kisha ukapigwa kalenda kibao ili mradi tu wapate kukuchaji ada zao za kihuni.
Nowdays,
Nmeamua kutumia Ndege maana ni uhakika zaidi na haraka sana kibiashara.
Na mzigo ukishafika airport, hakuna longo longo ni fasta fasta kuchukua chako na kusepa.
Kuna elfu 10 wiredKeyboard jumla unauzaje
tupo.....kama unahitaji nichekWauzaji wa vioo kwa jumla wapo??