Uzi kwa walioumizwa?

Watachangia mpaka na wasioumizwa, ambao hawajawahi kuumizwa hawana ushuhuda, wapite tu bila kuchangia, wasome wajifunze kitu maana na wao wanaweza kuumizwa
 
Si ulisema unaenda kujiua? Umefufuka kama msukule?

JF VAR CHECK
 
Anahitaji therapy huyo😁
 
usisononek haup mwenyew ngoja upate ushuhuda kutok kwa wanajukwaa.kuumizwa kup nan hal ya maish haup mwenyew.
Ukweli mie wiki mbili tatu na mie nilikutwa na jambo.. sema fresh 😁 Ndio ukubwa
 
Pole sana huo mwandiko inaonekana umeumizwa sana. Niongee na wanaume

Hivi inakuwaje kidume unasumbuliwa na mwanamke asiye bikira anakutesa?

Ukiridhia kuwa na mwanamke asiye bikira ujue huyo ni mali ya umma ni mwanamke wetu wote
 
Duhh mbona hata mada haihusiani na bikra ni kwamba unaiwawa kwa kiasi kikubwa hivi🫢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…