Uzembe wa TBC

Hii stesheni sijui kama ipo hata... sasa hapa ndio ya taifa kioo cha taifa, ingekuwa kwa wenzetu huyu mtu anaehusika na hii kazi hana tena hadi waziri/mkurugenzi pia ila kwa vile n kwetu hata kutuomba radhi hutasikia
 
hii ni chanel mpya?
maana mm ni mgeni hapa mjini
 
Inaelekea hali ya hewa ilijirudia vile vile ikabidi wapaste tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Director Kaamka asbuh

Kaangalia hewani, kaona Wingu kama lile LA tar 18 mwez wa 3

Kamwambia producer,
"Hebu Play Ile CD ya mwez wa 3 Tarehe 18.
Hali ya hewa ya leo ndio ile ile kabisa Nmeona kwa macho yangu"
 
Achana na TBC hawa jamaa wa hali ya hewa kuna siku walitangaza kwamba kuna kimbunga sijui Tsunami itatokea halafu baadae wanatangaza eti hakuna kitu kama walikuwa wanajaribu kuona muamko wa Watanzania kukabiliana na majanga kama hayo.
Dadeq hadi leo sitaki kuwaona.
 
Hahaha[emoji3][emoji3]
 
Ni noma...

Au walikosa update ya hali ya hewa wakaona waweke recorded?ila si wangeweka hata ya jana yake tu?Hahah
 
hadi wewe unaipondea tbc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…