Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,947
- 61,747
Yote yanawezekana kama mikakati itakuwepo na afya ikiwa njema. Inasemekana pia, mwili usipoushughulisha kwa kazi, uzee unaweza kuja haraka pamoja na kutangulia mbele za haki? Kuna ukweli wowote hapa?Nimevuka huo umri mda sasa ila bado napenda kazi na bata
Kwa mwaka naweza kusafiri hata mara nne nje ya nchi na holiday zenyewe ni sio zaidi ya mwezi na wakati mwingine ni siku tatu kama Costa del Sol Spain nauli haizidi £150
Kustaafu bado kidogo ila kazi ni muhimu kuliko kukaa nyumbani na kukatakata garden
Hii siwezi kabisa kufanya nataka kuwa na uwezo wa kukimbia hata nikifika 80 Mungu akinipa umri
Kwa nick name ya avatar sijui kama una umri huo labda inawezekanaNimevuka huo umri mda sasa ila bado napenda kazi na bata
Kwa mwaka naweza kusafiri hata mara nne nje ya nchi na holiday zenyewe ni sio zaidi ya mwezi na wakati mwingine ni siku tatu kama Costa del Sol Spain nauli haizidi £150
Kustaafu bado kidogo ila kazi ni muhimu kuliko kukaa nyumbani na kukatakata garden
Hii siwezi kabisa kufanya nataka kuwa na uwezo wa kukimbia hata nikifika 80 Mungu akinipa umri
Kwani uamini nawe utazeeka kwa jina hilo unalotumia?Kwa nick name ya avatar sijui kama una umri huo labda inawezekana
Yote yanawezekana kama mikakati itakuwepo na afya ikiwa njema. Inasemekana pia, mwili usipoushughulisha kwa kazi, uzee unaweza kuja haraka pamoja na kutangulia mbele za haki? Kuna ukweli wowote hapa?
Kwa nick name ya avatar sijui kama una umri huo labda inawezekana
Mungu akupe maisha marefu yenye amaniMimi nilipita huko miaka ya 80
Sitanii ila nimevuka 60 kwa sasa Mkuu kwanini nidanganye
Mungu akupe maisha marefu yenye amani
Mkuu, ni kipindi gani(umri) kwenye maisha yako kilikuwa bora sana kwa wakati wote uliyoishi paka sasa?Nimevuka huo umri mda sasa ila bado napenda kazi na bata
Kwa mwaka naweza kusafiri hata mara nne nje ya nchi na holiday zenyewe ni sio zaidi ya mwezi na wakati mwingine ni siku tatu kama Costa del Sol Spain nauli haizidi £150
Kustaafu bado kidogo ila kazi ni muhimu kuliko kukaa nyumbani na kukatakata garden
Hii siwezi kabisa kufanya nataka kuwa na uwezo wa kukimbia hata nikifika 80 Mungu akinipa umri
Mkuu, ni kipindi gani(umri) kwenye maisha yako kilikuwa bora sana kwa wakati wote uliyoishi paka sasa?
Vyema sana kiongozi na mungu azidi kukuwekaHakuna kipindi kizuri na kumbukumbu nzuri kama wakati mpo wadogo na kukua mkiwa nyumbani na ndugu zako
Hii ni furaha na majonzi pia nikikumbuka maisha yale
Ila baada ya hapo niliondoka na kuanza maisha yangu nikiwa na 20
Maisha hayo yalikuwa mazuri sana pia kwani nilijitegemea kwa kila kitu na kuweza kuiona dunia sana
Nimesafiri na kuziona nchi 32
Kwa kweli siyajutii maisha na sasa bado naishi vizuri tu sijawahi kupata dhiki namshukuru Mungu
Ingawa changamoto za hapa na pale
Kwani kaburini kuna utumishi wowote dada yangu?Mi nitapenda niendelee na imani ya kumtumikia Yesu wangu daima mpaka kaburini vingine atanijazia
Nimemaanisha mpaka naingia kaburinKwani kaburini kuna utumishi wowote dada yangu?