Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,324
Kweli mjini kila mtu Baby
Dah , oyaaa joseverest , ule uzi wa yule jamaa aliyequote kifungu cha biblia unaitwaje , na kile kifungu ni kipi,
Sory nikumbushe mkuu, nnashida nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh upi huo?? ninaokumbuka mimi ni ule wa Saint Ivuga ndio niliandika kwa style ya biblia...mwingine sikumbuji labda unikumbusheDah , oyaaa joseverest , ule uzi wa yule jamaa aliyequote kifungu cha biblia unaitwaje , na kile kifungu ni kipi,
Sory nikumbushe mkuu, nnashida nao.
Sent using Jamii Forums mobile app