Sio lazima uchangie, huyo si mkee wa mtuNjoo kwangu ,Mimi niki tembea Na wewe tu utapata mimba.
Tuliowahi kufuga ng'ombe tutakuambia kuwa hata wanyama hupata hili tatizo.Mbona sijawai ona mnyamba yeyote mimba imetoka ni binadamu tu
hiyo picha ndo wewe?
huyu utakuwa wewe mkuu,, mbona umebadilisha na umeamua kutuwekea kopeMdgo wangu


Hukupata ushauri mzuri. Ni hatari sana mimba ikitoka ukae bila kusafishwa. Tena una bahati kuna mdada aliwahi kufanya hivyo hivyo ilibidi kizazi (uterus) kitolewe.Ilikuww siku ya ijumapili docter alikuwa mmoja na alikuwq na wagonjwa wengi hvo ikamfanya niapandishie bei alitaka 80 na ndo maan sikusafisha badala yake nikanunu dawa tu za kusafisha ambazo hazikunisaidia baada ya miez miwili nikaanza kusikia kiuno mgongo na mbavu pmoja na tumbo vinauma
Tatizo siyo kuumwa tena, tatizo je, kuna madhara yoyote yameshatokea kwenye viungo vya uzazi kutokana na uchafu uliokuwa umebaki? Omba Mungu akusaidie na pia uende hospital wakuchunguzeMaybe lkn tka nimesafishwa wala ata sijaumwa tena