Uzazi

Uzazi

twiny

Senior Member
Joined
Dec 8, 2018
Posts
160
Reaction score
84
Samahan ndg zangu nina shida naomba kusaidiwa mimi ni dada nina miaka 24 nimeolewa mwaka sasa sijashika mimba nimeamua kutumia dawa za clomid je kuna uwezekano zikanisaidia ili niokoe ndoa yangu.
 
Umeambiwa tatizo ni Nini?
Kuna kipndi cha nyuma nilisha wai kubeba mimba ikatoka na nilisafishwa baada ya miezi miwil kupita baad ya mimba ktoka pia nilikuwa nasumbuliwa na tumbo na mgongo nilipima utarsaund nikaambiwa nina uchafu kwenye kizazi ambapo ndo ilinibdi nisafishe pia nikaambiwa nin uvimbe maji kwenye yai langu la kushoto ambapo niliandikwa dawa nkatumia vzur toka hapo sikuwa kuumwa tena mgongo wala tumbo isipo kuwa nimekuwa na maumivu mkali sana wakat apo ingia priod ambapo haikuwa kawaida yangu na siku zenyewe sasa hazieleweki mzunguko wangu uwa ni wasiku 35 lakin sa hv nashangaa naenda mpk 44 na sijaona kitu na nisha jarbu sana ktafuta tena mtoto bado sijafanikiwa sa sijui tatizo nn.
 
Pole sana Mungu atakujalie utapata mtoto

Kwa uelewa wangu mdogo clomid ni kwaajili ya kupevusha mayai. Madaktari watakuja kukusaidia. Pole
 
Njoo kwangu ,Mimi niki tembea Na wewe tu utapata mimba.
 
Mungu ndie mpangaji wa kila jambo mtumainie nae atatenda lililojema kwako. Pole sana
 
Mpaka ipite miaka mitatu kama utakuwa bado hujashika mimba ndiyo inaanza kuhesabika infertility, kwa sasa endelea kufurahia tendo la ndoa
 
Kuna kipndi cha nyuma nilisha wai kubeba mimba ikatoka na nilisafishwa baada ya miezi miwil kupita baad ya mimba ktoka pia nilikuwa nasumbuliwa na tumbo na mgongo nilipima utarsaund nikaambiwa nina uchafu kwenye kizazi ambapo ndo ilinibdi nisafishe pia nikaambiwa nin uvimbe maji kwenye yai langu la kushoto ambapo niliandikwa dawa nkatumia vzur toka hapo sikuwa kuumwa tena mgongo wala tumbo isipo kuwa nimekuwa na maumivu mkali sana wakat apo ingia priod ambapo haikuwa kawaida yangu na siku zenyewe sasa hazieleweki mzunguko wangu uwa ni wasiku 35 lakin sa hv nashangaa naenda mpk 44 na sijaona kitu na nisha jarbu sana ktafuta tena mtoto bado sijafanikiwa sa sijui tatizo nn.
Ilikuwaje mimba itoke halafu hukusafishwa muda huo huo?
 
Samahan ndg zangu nina shida naomba kusaidiwa mimi ni dada nina miaka 24 nimeolewa mwaka sasa sijashika mimba nimeamua kutumia dawa za clomid je kuna uwezekano zikanisaidia ili niokoe ndoa yangu.

Bora ungekwenda Hospitali ukaonane na madaktari bingwa, humu utadhihakiwa mpaka ukate tamaa
 
Usiwe na wasiwasi Mimi mke Wangu baada ya kumuoa alimaliza lakini sasa hivi tunaenjoy na mtoto wetu Wa miezi sita, mpeleke Mr apate ushauri la sivyo atakata tamaa mapema.
 
Umejuaje tatizo Kama lipo mwako inawezekana analo mmeo au ulishawahi kutoa mimba kwa njia za kanjanja
 
Ilikuwaje mimba itoke halafu hukusafishwa muda huo huo?
Ilikuww siku ya ijumapili docter alikuwa mmoja na alikuwq na wagonjwa wengi hvo ikamfanya niapandishie bei alitaka 80 na ndo maan sikusafisha badala yake nikanunu dawa tu za kusafisha ambazo hazikunisaidia baada ya miez miwili nikaanza kusikia kiuno mgongo na mbavu pmoja na tumbo vinauma
 
Back
Top Bottom