Kwa mtazamo wako hesabu ndogo au kubwa?Hesabu yenye kukaribia ukweli inaweza kupatikana kupitia watendaji wa vijiji/mitaa na kata.
Hii sensa ya siku/wiki moja ikiwa Pamoja na utamaduni wa kumaliza haraka bila uhakiki yaweza kuwa na mapungufu yake.
Hata hivyo, ndiyo takwimu rasmi ya serikali kwa sasa, lazima itumike.
Oyaa usini-quote kwny mambo ya kikumar.TheStoryTimeFacts [emoji310]
Habari [emoji112]
Naitwa Erry Mars ni msimuliaji wa Historia,makala na simulizi
Nathamini sana mchango wako ndugu [emoji120],Naomba support yako nisaidie ku SUBSCRIBE na kugusa KENGELE kwenye channel yangu.[emoji120]
Link Bonyeza Hapa[emoji116]
Asante sana [emoji120]
Kati ya vitu vya msingi ambavyo nilitegemea Mh. Rais angechana live pale pale uwanjani ni hilo la ongezeko la watu lisilowiana na uchumi na kufuta rasmi kauli ya fyatueni Serikali italea. Hakufanya hivyo; fursa nyingine adhimu imepotea bure.Heshima kwenu wanajamvi,
Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi.
Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia katika lindi la umaskini.
Tuzae watoto ambao tutakuwa na uwezo wa kuwatunza na kuwajengea misingi bora ya elimu.
Ni vyema familia zikapanga uzazi wa mpango ambao utaendana na uwezo wa uchumi na malezi bora.
Ongezeko la idadi ya watu bila ya ukuaji wa uchumi,maendeleo ya science & technology matokeo yake ni kengeneza kizazi ya madereva wa boda boda,wauza bar,machinga na wapiga debe.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala wenye afya.
Waislam hatuna huo ushenzi, sisi ni kuzaana tu Kila mtu anakuja na shani yakeKati ya vitu vya msingi ambavyo nilitegemea Mh. Rais angechana live pale pale uwanjani ni hilo la ongezeko la watu lisilowiana na uchumi na kufuta rasmi kauli ya fyatueni Serikali italea. Hakufanya hivyo; fursa nyingine adhimu imepotea bure.
Kimsingi ni kwamba Tanzania Hakuna ajira kabisaHeshima kwenu wanajamvi,
Leo Rais wetu Mheshimiwa Samia katutangazia matokeo ya sensa ya watu na makazi.
Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia katika lindi la umaskini.
Tuzae watoto ambao tutakuwa na uwezo wa kuwatunza na kuwajengea misingi bora ya elimu.
Ni vyema familia zikapanga uzazi wa mpango ambao utaendana na uwezo wa uchumi na malezi bora.
Ongezeko la idadi ya watu bila ya ukuaji wa uchumi,maendeleo ya science & technology matokeo yake ni kengeneza kizazi ya madereva wa boda boda,wauza bar,machinga na wapiga debe.
Naomba kuwasilisha kwa mjadala wenye afya.
Bora alivyonyamaza kimyaKati ya vitu vya msingi ambavyo nilitegemea Mh. Rais angechana live pale pale uwanjani ni hilo la ongezeko la watu lisilowiana na uchumi na kufuta rasmi kauli ya fyatueni Serikali italea. Hakufanya hivyo; fursa nyingine adhimu imepotea bure.
Nadharia potofu.Ukiitazama vizuri idadi ya watu inavyoongezeka (61 million) na ukuaji wa uchumi ni wazi sasa tunatakiwa kuzalisha zaidi bidhaa mbali mbali kuliko kuzalisha watoto ambao watakuja kuangukia katika lindi la umaskini.
Tunawategemea wawekezaji toka nje, usiwe na hofu na hilo!Kimsingi ni kwamba Tanzania Hakuna ajira kabisa
Nadharia potofu.
Vipi ungehimiza watu kufanya kazi kuongeza pato, na viongozi kutotapanya mali za nchi hii ili ziwafaidie wananchi wake isingeeleweka?
Utajiri wote huu ndani ya nchi iliyobarikiwa kila kitu isipokuwa akili kichwani mwa viongozi wake, unalia na idadi ya watu 60 milioni?
Wapi hapo ulishangaa watu kujazana mwendokasi [emoji23][emoji23]Mama Lishe unazaa watoto wanne kipato chako cha kudunduliza halafu unataka Serekali ikujengee matundu ya choo.
Ukweli mchungu tuanzishe familia ambazo tunaweza kuzihudumia vizuri wenyewe badala ya kila kitu kukimbilia msaada wa Serekali.
Last week nilikuwa Dar nikabaki kushangaa jinsi usafiri wa Mwendokasi ulivyozidiwa na idadi ya watu.Kifupi nilishuhudia msongamano mkubwa wa watu sijapata kuona.Ukienda katika vituo vya afya hali ni hiyo hiyo,ukuchungulia sekta ya Elimu kila mwaka madarasa yanajengwa madawati hayatoshi darasa moja wanafunzi 100 badala ya wanafunzi 45.
Kila Niki Tazama Tanganyika nabaki na mshangao
Kuna uwezekano ni kubwa baadhi ya maeneo.Kwa mtazamo wako hesabu ndogo au kubwa?