uzazi kwa operation na kujamiiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uzazi kwa operation na kujamiiana

Discussion in 'JF Doctor' started by gracious86, Mar 29, 2011.

 1. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wapendwa,hivi kama mwanamke amejifungua kwa operation,anaruhusiwa kujamiiana baada ya muda gani? Coz,kuna mshono tumboni, na hata kama mshono utakuwa umepona,kutabaki na kovu! Je,hii haitaathiri ktk kufanya mapenzi? Au mshono ukipona,inaruhusiwa? Help..
   
Loading...