Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,958
Uzandiki ni hali ya upotoshaji wa habari wenye lengo maalumu.
Mara nyingi uzandiki hutumika kuyumbisha utawala wa nchi adui.
Pia uzandiki unafanywa na watu au kikundi ili kuchongqnishq nchi husikq na raia wake , marekani kupitia idara ya usalama wa taifa nje ya nchi amefanikiwa pakubwa kutumia uzandiki kuzoofisha utawala wa iran na Venezuela.
Lakini pia uzandiki unaweza kutumiwa na usalama wa taifa (afisa) kwa lengo maalumu,kwa mfano rais samia aliposema kunawatu kutoka nchi jirani Walsingham nchini kufanya vurugu hii sentencing ki intelligencia ni kwamba ilihitaji kuwakusanya wananchi wawe wamoja na ili uligundue hili basi ni lazima uwe na taaluma ya ushushushu.
Lakini pia uzandiki unaweza kutumiwa na serikali kudhoofisha chama cha upinzani kuzusha uwongo au hata kupewa kesi lengo ki intelligencia ni kudhhoofisha upinzani tu wala hakuna kingine.
Huu ni mwendelezo wa uzi wangu kuhusu usalma wa taifa..................... next