Paul Makonda
Member
- Jul 8, 2011
- 97
- 186
Naunga mkono hojaView attachment 150576
Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa.
Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema Maana ya Mazingira Magumu) ama Tunaita watoto wa Mitaani, Leo Wamelibeba Taifa Huko BRAZIL kwa Kurudi na Kombe la SOKA la DUNIA kwa WATOTO waishio MAzingira Magumu.
Hawakujali Historia ya Maisha yao, Walijua Kitu Kimoja Tu, WANATUMIKIA TAIFA LAO. NA HUU NI UZALENDO WA KWELI.
View attachment 150575
Nichukue Fursa hii kuwapongeza na Kukiri kwamba, Vijana Hawa wamenipa Changamoto Kubwa Mimi Binafsi na Hii Ni Changamoto ya Vijana wote Tanzania Kutumikia Taifa bila Kujali Mazingira Wanayopitia.
Wito wangu Kwa Viongozi Vijana; Tuunge Mkono Juhudi Hizi.
Mungu Ibariki TANZANIA
Paul C. MAKONDA
Katibu Uhamasishaji na CHIPUKIZI, UVCCM
Maneno ya faraja sana haya na ni maji kwenye kiu, akhsante mkuu.View attachment 150576
Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa.
Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema Maana ya Mazingira Magumu) ama Tunaita watoto wa Mitaani, Leo Wamelibeba Taifa Huko BRAZIL kwa Kurudi na Kombe la SOKA la DUNIA kwa WATOTO waishio MAzingira Magumu.
Hawakujali Historia ya Maisha yao, Walijua Kitu Kimoja Tu, WANATUMIKIA TAIFA LAO. NA HUU NI UZALENDO WA KWELI.
View attachment 150575
Nichukue Fursa hii kuwapongeza na Kukiri kwamba, Vijana Hawa wamenipa Changamoto Kubwa Mimi Binafsi na Hii Ni Changamoto ya Vijana wote Tanzania Kutumikia Taifa bila Kujali Mazingira Wanayopitia.
Wito wangu Kwa Viongozi Vijana; Tuunge Mkono Juhudi Hizi.
Mungu Ibariki TANZANIA
Paul C. MAKONDA
Katibu Uhamasishaji na CHIPUKIZI, UVCCM
ohooo!!Wakuu,
Binafsi natatizika sana na huyu mtu anayeitwa Paul Makonda
Nimesikia huyu Bwana ni LLB Graduate from UDSM, lakini the way anavyojengaga hoja zake haziendani kabisa na hii Elimu ambayo mimi nimesikia anayo. Paul Makonda hauko huru kabisa, mtu anaweza kabisa kusoma body language yako wakati unaongea kuwa huamini kile unachokizungumza.
Na ndio maana unakuwa hauna Points kabisa kwenye Hoja zako.
Kama Vijana wakiiga hulka yako basi Taifa litakuwa na Vijana wa Ajabu kabisa.
Tukija kwenye post yako, kwanza it has nothing to do na Jukwaa la Siasa.
Pia, hivi umekuja kuijua hii issue baada ya hao vijana kuibuka kidedea huko ?
Ulikuwa wapi wakati wanaenda, mbona hukutoa hizi hamasa from day one.
What if tukiziita tabia kama hizi kama "CHEAP POPULARITY ?????" na kutaka Sifa ambazo kimsingi huzistahili.
Jitambue