I like that.......Nafikiri haijawahi kutokea team ambayo imekubalika nyumbani kwake kama hii.......Watanzania tungependa vya kwetu kama hivi...Simba na Yanga zingejifia tu!
Tungekuwa na Team kali zisizo na mizengwe ya kipuuzi kama Simba na Yanga.
Sawa ni uzalendo wa kweli ila wanatakiwa waende mbele zaidi, kwa kujitolea michango yakifedha ili timu ijitegemee kwani cha ajabu Mbeya city bado wanakula kwa mama lishe!!!!! Kama mashabiki wao wanaweza kukodi magari kumi hadi dar inakuwaje washindwe kuichangia timu? Haya ndio matatizo yanayozikumba timu zetu mwanachama anashindwa kuchangia sh.elfu 15 kama ada ya uanachama kwa mwaka!!! Ila anaposikia kuna watu wanataka kuingia mkataba na timu anapiga kelele kuwa ni pesa ndogo!! MBEYA CITY wekeni mambo sawa nyie na azamu ndio tegemeo jipya la mpira wa tz achaneni ni hizi timu kongwe ambazo hata viwanja vyao tu vimewashinda kujenga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.