Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Pia kuna mwanamama mmoja aliwapigia magoti wapiga kura ili wampe kura za ndio.View attachment 1602846
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako
Pia kuna mwanamama mmoja aliwapigia magoti wapiga kura ili wampe kura za ndio.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hana tofauti na alie osha vyombo vya mamantilie. Jana nimeona picha cha Magu akisonga Ugali stupid kweli[emoji1787][emoji1787]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yule kwa pembeni ndio Mariam biliani? Yule aliye mt*****mb gwajima?
View attachment 1602846
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako
Kondoo bado mnao, au mtampa kuchunga Mbuzi?View attachment 1602846
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako
Hao Ni wale mabodigadi wake eeView attachment 1602846
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako
Na pale darajani mnapopaita flyover, alienda mzalendo gani?View attachment 1602846