Uzalendo ulimshinda

Heshima yako mkuu mshana wanafanyaje hapo sijakuelewa

Ilikuwa kwenye show kina dada wakawa wanasakata rhumba kwa kukata viuno kwa raha zao, jamaa akahemkwa akamkimbilia mmoja wa wadada akataka kumaliza libido lake watu wakamshtukia
 
mshana mbona kama mkutano wa ccm?
namuona kijana kavaa rangi ya bangi mbichi
 
mshana mbona kama mkutano wa ccm?
namuona kijana kavaa rangi ya bangi mbichi

Si ndio waandaaji wa show dizaini hizo ili wavute wananchi....!!!!
 
...lakini jamaa bado ni mzalendo, hauja mshinda bado bhana...
 
Wangemuacha Tu.Si Wameyaamsha Yaliyolala..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…