K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Nov 15, 2011 #1 leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
N ngwini JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 482 Reaction score 89 Nov 15, 2011 #2 Wewe ndo cyo mzalendo,maana ungekuwa mzalendo ungekwenda Taifa.
DULLAH B. JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 672 Reaction score 152 Nov 15, 2011 #3 Wenze2 wakenya wanaönesha ya kwao na sycheles. Why tanzania? Mi naona Tanganyika irudi ndo wa2 watakua wazalendo.
Wenze2 wakenya wanaönesha ya kwao na sycheles. Why tanzania? Mi naona Tanganyika irudi ndo wa2 watakua wazalendo.