Uzalendo ni janga la taifa Tanzania

Prezidah

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
751
195
Habari wanajamvi, kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia jinsi uzalendo unavyozidi kutoweka siku hadi siku si kwa viongozi wetu tu lakini pia hata kwetu raia. Viongozi wetu wamekuwa walafi kupitiliza (mifano ipo mingi ikiwemo escrow, epa, sijui uda, kwenye madini, bandarini gesi nk) ubinafsi umetawala kuliko utaifa.....

Siasa: Chama kwanza taifa baadae. .

Uadilifu wa viongozi: wengi f

Ajira: mtoto wangu kwanza wengine baadae...

Mpira: timu za ulaya kwanza bongo by the way.....

Vivyo hivyo kwenye sanaa, mavazi, chakula na mengine mingi. Ukienda nchi za wenzetu hali ni tofauti na tofauti ni kubwa mno. Ni kwa msingi huo ni vema rais ajaye atueleze mikakati yake katika kurudisha uhai wa taifa letu, hadhi na thamani ya Tanzania kwenye anga za kimataifa. Kumbuka Tanzania ni mfano kwa nchi nyingi za Africa hasa tuliowasaidia kupata uhuru
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom