Uza simu yako hapa 100,000/=

Uza simu yako hapa 100,000/=

Kadox

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
29
Reaction score
2
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, nahitaji simu nzuri ambayo iko katika hari nzuri na pay yangu ni hiyo hapo kama utaridhika,usisite kuni pm.
 
Ipo nokia e63 nataka laki na ishirini tu
 
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, nahitaji simu nzuri ambayo iko katika hari nzuri na pay yangu ni hiyo hapo kama utaridhika,usisite kuni pm.

kuna nokia 7230 lete iyo laki nikupe betri ipo poa kabisa inakaa na chaji siku 6 ni ile iliyokuja na simu.
 
Blackberry nayoitumia hapa 3G curve two 120,000
 
Kijana kuna samsung Y pro bei 120,touch with pad...,Pm......au 0654715457
 
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, nahitaji simu nzuri ambayo iko katika hari nzuri na pay yangu ni hiyo hapo kama utaridhika,usisite kuni pm.

Nna samsung galax duos gt- s7392 nipe 110,000
nipo arusha
Contacts 0684204980
 
Lumia 710
 
Attachments

  • 1432375100445.jpg
    1432375100445.jpg
    33.3 KB · Views: 108

Similar Discussions

Back
Top Bottom