Uza simu kwa tsh 100,000=

Uza simu kwa tsh 100,000=

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Nanunua simu kwa bei tajwa hapo juu, iwe smartphone ya android brand yoyote au nokia,kasi kwenye mambo ya internet bila kusahau WhatsApp,hata kama ni used lakini isiwe imechoka,zingatia kuwa bajeti yangu ni hiyo kejeri sipendi,
NAWASILISHA
 
Nokia 306 mpyaaa..
Ina what'sapp,opera min,uc browser..Internet fasta..
0765050591
 
Nanunua simu kwa bei tajwa hapo juu, iwe smartphone ya android brand yoyote au nokia,kasi kwenye mambo ya internet bila kusahau WhatsApp,hata kama ni used lakini isiwe imechoka,zingatia kuwa bajeti yangu ni hiyo kejeri sipendi,
NAWASILISHA

Kaka cm ipo nipigie 0653 457659
 
Kama bado hujapata nichek blackbery curve 9320 ni used kdogo nichek hapa 0714233520
 
Nanunua simu kwa bei tajwa hapo juu, iwe smartphone ya android brand yoyote au nokia,kasi kwenye mambo ya internet bila kusahau WhatsApp,hata kama ni used lakini isiwe imechoka,zingatia kuwa bajeti yangu ni hiyo kejeri sipendi,
NAWASILISHA

Leta 130 nkuachie htc legend mkuu.cm ipo n guwd condtion.
 
mkuu bei nzuri lakini bajeti yangu ndio kaka kama inalipa fanya kunicheki namba ipo hapo juu,au ni -pm namba yako tuongee vizuri
 
Asante mkuu ngosha ..cm ipo vzur tu lakin kwa 130..jipige jipige mkuu upate smartfon kw bei cheee...
 
Back
Top Bottom