B Baba JJ Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 194 Reaction score 98 Oct 18, 2014 #1 Habari wana jamvi, Nahitaji Landrover 110 au Pick-up ya kumudu shughuli za maeneo ya rough road. Toa offer na mawasiliano.
Habari wana jamvi, Nahitaji Landrover 110 au Pick-up ya kumudu shughuli za maeneo ya rough road. Toa offer na mawasiliano.
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,290 Reaction score 1,428 Oct 19, 2014 #2 baba jj said: hbr wana jamvi, nahitaji landover 110 au p/up ya kumudu shughuli za maeneo ya rough rd. To a offer na mawasiliano. Click to expand... hizi gari upatikanaji wake tz ni mgumu sana ,ni uk pekee ukiwa na pesa yako utapata used .sema bajeti yako
baba jj said: hbr wana jamvi, nahitaji landover 110 au p/up ya kumudu shughuli za maeneo ya rough rd. To a offer na mawasiliano. Click to expand... hizi gari upatikanaji wake tz ni mgumu sana ,ni uk pekee ukiwa na pesa yako utapata used .sema bajeti yako
B Baba JJ Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 194 Reaction score 98 Oct 20, 2014 Thread starter #3 viking said: hizi gari upatikanaji wake tz ni mgumu sana ,ni uk pekee ukiwa na pesa yako utapata used .sema bajeti yako Click to expand... Kuagiza utachukua muda chief, inahitajika haraka sana.
viking said: hizi gari upatikanaji wake tz ni mgumu sana ,ni uk pekee ukiwa na pesa yako utapata used .sema bajeti yako Click to expand... Kuagiza utachukua muda chief, inahitajika haraka sana.
A Albosignathus JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,898 Reaction score 1,051 Oct 20, 2014 #4 Baba JJ said: Kuagiza utachukua muda chief, inahitajika haraka sana. Click to expand... uko mkoa gani mkuu? Ninayo iko fresh.offer yako?
Baba JJ said: Kuagiza utachukua muda chief, inahitajika haraka sana. Click to expand... uko mkoa gani mkuu? Ninayo iko fresh.offer yako?
B Baba JJ Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 194 Reaction score 98 Oct 20, 2014 Thread starter #5 Albosignathus said: uko mkoa gani mkuu? Ninayo iko fresh.offer yako? Click to expand... Niko dar mkuu, iko kwenye hali gani?, nipe bei yako.
Albosignathus said: uko mkoa gani mkuu? Ninayo iko fresh.offer yako? Click to expand... Niko dar mkuu, iko kwenye hali gani?, nipe bei yako.