Uyanga na Usimba unaigharimu soka letu,wapigaji penati wa IHEFU wamethibitisha hilo

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Pasi ya kumung'unya maneno Uyanga na Usimba unai-gharimu nchi yetu kwenye tasnia ya mpira.

Wapiga penati 3 wa timu ya IHEFU bila kupepesa macho wameonyesha unprofessional behaviour kwa aliye angalia mikwaju ya penalty ,wachezaji 3 waliokosa penalty kwa upande wa IHEFU wameonyesha kabisa wamefanya makusudi kukosa penalty

Walipiga penalty laini tena kwa kuonyesha kabisa ,pasi na shake Uyanga na Usimba ndio chanzo cha haya

Aliyeenda kupiga penalty ya mwisho ya ushindi kwa upande wa IHEFU kasikitisha Uyanga na Usimba kauonyesha pasi na shaka penalty ulojo anapiga ,penalty ile iliyowapa ushindi Yanga mpigaji anaonyesha kabisa ana mapenzi na yanga penati kama ya mtoto wa miaka 6 .

Tubadilikeni jamani tuwe professional zaidi tukiwa kazini

Wasalaam
 
Nilichoona mie na kikanishangaza, ni kwa kipa wa Yanga kutoka kwenye mstari wa goli, kabla ya hata kupigwa kwa penati.. Kilichonishangaza kabisa, hakuna yeyote alielalamika wala refa kuliona hilo..
 
Nilichoona mie na kikanishangaza, ni kwa kipa wa Yanga kutoka kwenye mstari wa goli, kabla ya hata kupigwa kwa penati.. Kilichonishangaza kabisa, hakuna yeyote alielalamika wala refa kuliona hilo..
Hata penati ya Chirwa dhidi ya URA ilikuwa hivyo, ulilalamika?
 
Hata penati ya Chirwa dhidi ya URA ilikuwa hivyo, ulilalamika?

Sikuona na wala usiweke ushabiki kwenye makosa kama haya.. Maana baadae wanapoenda kucheza nje ya Tanzania watakuja kulalamika wameonewa penati zimerudiwa.. Kama ilitendeka kwa Chirwa basi nalo lilikuwa kosa.. muendelezo wa makosa mpaka mnaona ni haki..
 
tutawaambia ihefu dirisha dogo wakusajili wewe professional player py thon

mkuu penalti na mpira kiujumla sio kucheza rede, wakati mwengine unakuwa under pressure miguu inakosa nguvu wewe unadhani chirwa na ura alifanya kusudi?

kila mtu akiwa nje kocha
 
Sikuona na wala usiweke ushabiki kwenye makosa kama haya.. Maana baadae wanapoenda kucheza nje ya Tanzania watakuja kulalamika wameonewa penati zimerudiwa.. Kama ilitendeka kwa Chirwa basi nalo lilikuwa kosa.. muendelezo wa makosa mpaka mnaona ni haki..
Yanga ni timu ya watu wenye kujitambua, huwa hatuna muda wa kulalamika hovyo hovyo, tukipigwa tunakubali yanaisha
 
Green Worriers walionesha uAzam au Usingida Utd

Penalt sio kitu cha mchezo mchezo.

MPIGAJI anaona goli dogooo.
GOLIKIPA anaona goli kuuubwa.

Nahisi ww ndo umejaa Uyanga na Usimba inawezekana ulijiandaa kuzomea
 
Ushabiki kitu kibaya sana. Wakikosa Yanga hawajui kupiga penati. Wakikosa wengine dhidi ya Yanga wamefanya makusudi kwa unazi wao kwa Yanga.
Ukweli mchungu unabaki pale pale. Matopeni keshang'oka FA Cup. VPL bado mbichi lolote laweza kutokea.
 
Back
Top Bottom