Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Sigrada Mligo (34), kushambuliwa kimwili.
Ikumbukwe kuwa, tarehe 25 Machi 2025, Mjini Njombe, iliripotiwa kuwa Mwenezi Mligo alifanyiwa shambulio la kudhuru mwili na mmoja wa walinzi wa chama hicho wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
Akitoa tamko la jumuiya hiyo leo, Ijumaa, tarehe 28 Machi 2025, Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda, ameilaani vikali hali hiyo na kutoa wito kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kuendelea kumsaka mtuhumiwa na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.
UWT imesema kuwa inashangazwa na kitendo cha BAWACHA kutokutoa kauli yoyote, na inasisitiza kuwa vitendo vya vurugu havipaswi kuvumiliwa na vinapaswa kupigiwa vita kwa nguvu zote.
Chokochoko za kishamba, inawahusu nini kama sio unafiki na kujikosha tu, kwani suala hilo si lipo polisi, mlitaka waseme nini. BAWACHA wanajitambua hawakulupuki.
For your information, BAWACHA wanataarifa zote za tukio hilo kuliko nyie mliodandia treni kwa mbele
View: https://m.youtube.com/watch?v=okZ0Rej9kIAKatibu Mwenezi Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Taifa, Bi. Aisha Machano, amedai kutekwa na kupigwa na wanaume sita na mwanamke mmoja waliojitambulisha kuwa ni Maafisa wa Jeshi la Polisi, wasiokuwa na sare wala vitambulisho katika Eneo la Kibiti, siku ya Jumamosi tarehe 19 /10/2024 wakidai kwanini baraza hilo lilichoma vitenge vilivyotolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hasani kama zawadi.
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...