UWT na BAWACHA sasa kupata uhai


VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Mabaraza haya ya Wanawake ya CCM na CHADEMA,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya, sasa yamepewa uhai mpya. Yatatakiwa kulea,kukuza na kuimarisha viongozi watarajiwa wa nchi hii. Mabaraza haya yatatutolea mgombea mmoja kwa kila jimbo la Uchaguzi wa Wabunge (Majimbo yote yakiwa 35) Tanzania Bara na Zanzibar. Ni wakati muafaka sasa kwa UWT na BAWACHA kuanza kazi ya kutukuka. Kazi rasmi za kisiasa kutuandalia viongozi. Na kazi ianze sasa! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2010
Messages
249
Likes
2
Points
33
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2010
249 2 33
Mabaraza haya ya Wanawake ya CCM na CHADEMA,kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba mpya, sasa yamepewa uhai mpya. Yatatakiwa kulea,kukuza na kuimarisha viongozi watarajiwa wa nchi hii. Mabaraza haya yatatutolea mgombea mmoja kwa kila jimbo la Uchaguzi wa Wabunge (Majimbo yote yakiwa 35) Tanzania Bara na Zanzibar. Ni wakati muafaka sasa kwa UWT na BAWACHA kuanza kazi ya kutukuka. Kazi rasmi za kisiasa kutuandalia viongozi. Na kazi ianze sasa! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu mimi napingana kabisa na hili wazo la kuwa na wabunge waili kila jimbo, hakuna logic yoyote. UWT na BAWACHA watuletee wabunge/viongozi ambao ni vichwa sio kwa kivuli cha jinsia. Wameondoa viti maaulum lakini wamerudisha kwa mlango wa nyuma eti lazima kuwe na mbunge Me na KE. Haina maana kabisa. Tuseme hapana kwa wabunge wawili.
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,418
Likes
1,721
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,418 1,721 280
This is a very good boost for CHADEMA!
 
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
8,520
Likes
839
Points
280
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2008
8,520 839 280
heshimu watu! This is fallacy
Wewe ndio unatakiwa uheshimu watu wenye jinsia tofauti na yako, anti Vu ni mtu kama wewe na kuwa shoga ni maumbile yake.
 
Z

Ze Tiger

Senior Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
115
Likes
0
Points
0
Z

Ze Tiger

Senior Member
Joined Nov 2, 2012
115 0 0
Wakuu nisaidieni nielewe hapa,

Hivi huu ndio mwisho wa wabunge wa majimboni ?

Huu ndio mwisho wa majimbo Tanzania Bara na Zanzibar ?

MSAADA TAFADHALI
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Wewe ndio unatakiwa uheshimu watu wenye jinsia tofauti na yako, anti Vu ni mtu kama wewe na kuwa shoga ni maumbile yake.
Kuwa shoga ni hiari kabisa na wala siyo maumbile. Acha kutetea ubaradhuli.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Utakuwa ni yule anti Vu? yule shoga mzee wa karibu na ofisi za chama?
Si mimi Mkuu. Nakuheshimu sana na nayaheshimu mawazo yako.Lakini,kuwa makini katika kuchangia kwako mwanangu Nduka. Kwanini usijadili mada na kuleta masuala ya ajabuajabu. Si vyema Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
More Tiz

More Tiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Messages
2,234
Likes
9
Points
135
More Tiz

More Tiz

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2013
2,234 9 135
This is a very good boost for CHADEMA!
Hakuna kitu hapo, Hiyo ni Janja ya Chama cha mapinduzi baada ya kuona kinakoelekea kitakosa kabisa uwakilishi kinakuja na njia Mbadala. Hili si ndio kama lile la kumpata muongoza mjengo? Eti genda.
Angalia Taifa kama USA na mataifa mengene ya Magharibi yanayosema kuwe na Me na Ke bungeni, Wao wamebalance vipi?. USA Ina kama 16% ya Ke bungeni sisi tunalazimishwa. Wao hawana viti maalumu wala upendeleo, Kupigania kura majimboni mwendo mmoja kwa nini nasi watu wasitafute kura badala ya kusubiri wapewe????????????????
Hizo gharama za kuongeza hao wabumbe wa Pili kwa kila jimbo ni bora zikaajiri walimu nchini kuliko kusubiri msaada wa Jamaica.
 
Atukilia

Atukilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Messages
643
Likes
17
Points
35
Atukilia

Atukilia

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2009
643 17 35
Wabunge wa vyama wanatokana na vyama vyao sio jumuia au baraza la chama. Haya mabaraza ni kwa siasa za ndani. Nadhani wabunge wote wanapigiwa kura na wanachi wote tusipokuwa waangalifu kuruhusu hilo italeta usumbufu kwenye kupiga kura itabidi watu wakaguliwe nanii ili kujua jinsia yao.
 
L

leo.leo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2013
Messages
393
Likes
70
Points
45
L

leo.leo

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2013
393 70 45
huu mfumo wa lazima mwanamke jimboni sidhani kama ni mzuri .Japo pia kuwafanya wabunge wa nafasi maalum ni kuwalemaza.Wanawake wasibebwe kwa jinsi yoyote ile ,ili kuweka balance ya uwakilishi.
 

Forum statistics

Threads 1,273,323
Members 490,351
Posts 30,478,040