Uwoya azimia mara nne


Mnafiki mkubwa huyo angekuwa na upendo wa dhati asingefanya sherehe ya ubatizo wa mwanaye tena baba yake kampeleka polisi mwandishi wa global.
 

kwani wewe hujui kuwa I.U ameduu na The Great?
 
Huenda alishapitiwa,huoni wema anasema walikua wanaendelea kisirisiri


Bongolala unaharibu hali ya hewa hapo kwenye bold! Itakuwa hatari maana Ndekumana anapitiaga huku JF.
 
wale wasichana wote wa the great atakuwa kawafan ya.
pia inaonyesha alikuwa anawasaidia kwa namna moja au nyingine,
hivyo acha wafu wawazike wafu wenzao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…