Ningempiga talaka moja kwa moja
Wana JF
Irene Uwoya alikuwa akizimia kila akizunduka mpaka kuzua maswali na mshangao kwa waombolezaji walio kuwa wakiomboleza ana kwa ana na wengine waliokuwa wakifuatilia kwenye runinga.Angalau Wema Sepetu zimia yake inaeleweka kwamba alikuwa anajigi jigi na marehemu.Hebu niambie we ungekuwa mume wa IU ungeichukuliaje hii hali?
Huenda alishapitiwa,huoni wema anasema walikua wanaendelea kisirisiri
hahaha,Wema mwezi mchanga yule,anasahau haraka kama ngiri.Ngiri akikimbizwa na simba akakutana kichaka tu anaanza kula nyasi anajisahau kuwa adui yupo nyuma
r u young master the 1 i know?
Yep. Am the one Suri Franklyn.