Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,190
- 5,046
Wakuu #noreformsnoelection
Kuna mdada mmoja nilikutana naye maeneo ya kazini nikamuelewa nikarisha ndoano akatick baadaye sana nilikuja gundua ni mke wa mtu kwa maelezo yake mumewe hakai wilaya tuliyopo yupo wilaya nyingne kutoka hapa tulipo mpaka huko alipo ni masaa matatu.
Alinambia bwana ake anafanya kazi kwenye ujenzi wa mabarabara huwa anarudi mara moja moja sn anaweza maliza hata miezi 6 hajaridi
Lakini alinambia ni kama huyo bwana ake ana mwanamke mwingine huko aliko anakofanya kazi na amepanga chumba huko hataki huyu mkewe aendeko ila matumiz anatoa na kodi analipa.
Nimekuwa nikimsaidia baadhi ya mambo kama mahitaji ya nyumbani kama ataniomba lakini kiasi cha fedha akiwa na shida.
Nilionana naye akiwa anajifunza mambo ya saloon sasa alinigusia baadhi ya changamoto zake bnafs na kwa mumewe kuhusu yeye binafsi ni yatima hana wazazi na anatamani apate mtaji wa kufungua saloon yake ili angalau ajikumu maisha kwani huyo mumewe anamnyanyasa sana hataki hata aende kwao wasalamia na mbaya zaidi jamaa hajalipa mahari, na hajawahi mpeleka kwao yaani kwao na mwanaume huyu mdada hajulikani ni sogea tukae tu na mwamba hana mpango huo kwa mujibu wa huyu dada.
Kilichonishtua siku moja aliniambia simu yake inasumbua akaniletea kazini hapa nikaanza mrekebishia nikaingia kwny sms eeeeh si nikakuta wanachart na huyo bwana ake wanabebishana huyu mwanamke anamwambia kamiss mboo yake nk ingawa pia kuna baadhi ya sms jamaa alikuwa anamtukana huyu dada na kumdhalilisha
Huyu dada alikuwa ananiambia hawez kabisa chart na huyo bwana ake zaidi ya salamu hakuna kingne na hataki kumuona na hana hisia naye nilipoona sms za kubebishana sjataka mwambia chochote ila kuna mambo nilitaka msaidia mwezi ujao kumnunulia baadhi ya vifaa vya saloon na kumlipia pango la kufungulia saloon sa kwasababu amekuwa akinidanganya nimeamua kuhairisha jambo hilo na nina mpango kumuita na kumwambia amwambie huyo bwana ake ampe mtaji mi siwez tena.
NB: Nilichojifunza aisee kama una mkeo sehemu tofauti na unakofanyia kazi ujue atatiwa tu hata awe mgumu kiasi gn atapigwa tu hakuna namna
Pia nimegundua hawa single maza hawa na hawa ambao waume zao wako mbali nao ni waongo sn si wa kuwaonea huruma ni waongo.
Sasa wakuu mnanishauri nini kuhusu uamuzi wangu nipo sawa au siko sawa 🤔