Kwa uendeshaji huu, lazima CECAFA ife tu.
Kwanza itabidi warudi kwenye vitu vya msingi. Wanataka timu nyingi wakati pesa hawana. Kwa nini usiwe kwa club bingwa ya nchi pekee? Hilo likifanikiwa wakapata wadhamini ndio waangalie kuongeza timu lakini kuwe na kanuni zilizowazi kabisa. Sio kuangalia nani ataingiza pesa nyingi mlangoni.