Uwongo Unanitokea Puani

Uwongo Unanitokea Puani

Nikifanya Mzaha Leo Na Mimi Nalala Ktk Gari Kama Dr. Slaa Kwani Hela Yangu Ya Lodge Imeshakata, Muda Unaenda Na Mpaka Sasa Lunch Nimepiga Free Kick ( Sijala ). Bora Tu Ningebaki Dar Nijilie Zangu Tu Mihogo Ya Kukaanga Kwa Mkopo Kuliko Huku Ugenini Dodoma Ambako Sina Hata Ndugu au Rafiki. Leo Si Ndiyo Mwanzo Wa Kupakatwa Na Wagogo?
Waambie akina Nape wakutumie buku saba yako kwa Mpesa usije kufa njaa hapo.
 
Nikifanya Mzaha Leo Na Mimi Nalala Ktk Gari Kama Dr. Slaa Kwani Hela Yangu Ya Lodge Imeshakata, Muda Unaenda Na Mpaka Sasa Lunch Nimepiga Free Kick ( Sijala ). Bora Tu Ningebaki Dar Nijilie Zangu Tu Mihogo Ya Kukaanga Kwa Mkopo Kuliko Huku Ugenini Dodoma Ambako Sina Hata Ndugu au Rafiki. Leo Si Ndiyo Mwanzo Wa Kupakatwa Na Wagogo?

Sasa kwanini unatoa mfano kwa kumgusa dk huoni kuwa ni uchokozi huo?, lkn siku zote twa wambia mkizifata dini zenu vyema, waaala hamuwezi kuwa watu wa deal!!, umeyataka mwenyewe, hata nauli huna!!
 
Nikifanya Mzaha Leo Na Mimi Nalala Ktk Gari Kama Dr. Slaa Kwani Hela Yangu Ya Lodge Imeshakata, Muda Unaenda Na Mpaka Sasa Lunch Nimepiga Free Kick ( Sijala ). Bora Tu Ningebaki Dar Nijilie Zangu Tu Mihogo Ya Kukaanga Kwa Mkopo Kuliko Huku Ugenini Dodoma Ambako Sina Hata Ndugu au Rafiki. Leo Si Ndiyo Mwanzo Wa Kupakatwa Na Wagogo?
mtafute mwenzio huyo
 
Tatizo ni sisiem imetufundisha uongo
 
Usikute hata hii stori ni uongo pia!
Manake waongo huwa si wa kuwaamini kwa neno lolote.
 
Sio wewe tu utaumbuka mwaka huu ni pamoja na chama chako watanzania tumechoka na uongo
 
Ukiacha kushabikia CCM utakuwa mkweli kwako na kwa wenzako
 
Vijana wengi hawandelei katika biashara sababu ya kuendekeza ubinafsi.
Kwa maelezo ya mwenzetu huyu, alitaka kumdhulumu mwenziwe ili kwa ubinafsi wake afaidike mwenyewe badala ya kufaidika wote wawili na mwenziwe.

Sasa hapo hakuna misingi ya ukweli na uwazi katikaushirikiano.
Na kama kungekuwa na dili kubwa sana si ajabu kumtoa roho mwenziwe ii afaidike binafsi.

Kutaka ushauri haa ni kujidanganya maana roho mbaya ni kuiombea irudi kwmenye misingi ya kibinadamu, Mpende Jirani Yako kama unvyojipenda mwenyewe.
 
Lakini mzee 'P' wewe si unasali kwa nabii flora? Umehamia lini kwa maparoko tena? Au nabii flora siku hizi ana maparoko?

Ninamjua Huyo MTUMISHI Wa Mungu Tokea Akiwa Kigamboni, Kisha Kwa Mzee Willy Pale Mbezi Beach Maguruwe Na Mpaka Alipoanzisha Kanisa Lake Salasala.

NINAMKUBALI 100% Kwani MAFANIKIO Yake KIMAOMBI Ni MAKUBWA Na Hayaelezeki Na Tokea NIMFAHAMU Sijawahi Kuona Mtu AKIENDA KWAKE NA ASIFANIKIWE. Lakini Pia TUSISAHAU Kuwa Dini Pia Ni IMANI Ya MTU Na Jinsi UNAVYOJIACHIA Kwa Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo.

Kwa Mfano UNAKUTA MTU ANAENDA KUOMBEWA LABDA APATE MUME NA MTUMISHI WA MUNGU AKIMWOMBEA NA KUMTAKA AACHANE NA UMALAYA YEYE AKIRUDI TU KITAA MWENDO NI MDUNDO KWA WAUME ZA WATU Je Hapo UNATEGEMEA NINI MKUU?

Nabii Flora Peter Ni MTUMISHI Wangu Na Namkubali Hadi Sijui Nisemeje Na Nahisi Nina DENI La Kumlipa Kwa Maombi Yake Ya UHAKIKA Kwangu Na Jinsi Mambo Yangu Yanavyozidi KUNYOOKA.

Najisikia Mwenye Furaha Mno KUSALI Kwa Nabii Flora Peter Na Nichukue Nafasi Hii Murua Kuwakaribisheni Na Wengine Wote Ambao Mna IMANI HABA. Mtasikia Mengi Na Mtadanganyana Sana ILA Ushuhuda Wa Maombi Ya Nabii Flora Peter HAUELEZEKI.

Namalizia Kwa Kusema " Kwa Msaada Wa Mungu Tutatenda Makuu Kwa Maana Bwana Atawakanyaga Watesi Wetu Zaburi 60:12 Na 108:13 ".

Bora Wewe Umewaambia UKWELI Labda Watakuelewa Kwani Inaonekana Wenye PEPO Humu Ni Wengi. Nisalimie Sana Dada Yangu Mpendwa Pastor Julie, Mama Lelwa, Mzee Komba Na Mdogo Wangu Danny Na Nifikishieni Salamu Zangu Nyingi Kwa Mama Yangu Mpendwa Wa Kiroho Nabii Flora Peter Mwambieni Mwanae Kipenzi " P " Nampenda Mno Na Akhsante Kwa Maombi Yake Kwangu Na Mwenyezi Mungu Ambariki Sana Azidi Kuwasaidia Wengine Kwa Maombi.
 
Usihofu, nenda ofisi ya chama hapo wanatoa misaada midogomidogo huwezi kosa nauli!
 
Naona Aibu Sana Dada Yangu Mpendwa Miss Chagga. Leo Ujanja Wangu Wote Umeniishia! Naahidi Kwa Mungu Kuwa SITAONGOPA Tena. Hivi Huyu ALIYETUTENGENEZEA Hizi Simu Alikuwa Na Nia Nzuri Na Sisi Kweli? Hata Simu Nayo Nawaza KUITUPA au KUTOITUMIA Tena Kwani IMENICHUMIA Dhambi Leo.

Wewe ni mwana ccm hofu ya nini kama UKAWA? Nenda kwenye ofisi zao watakupa bulungutu la pesa na soo yote iishe.
 
Back
Top Bottom