GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,064
- 126,658
Kwanza Naanza Kusema Rasmi Kuwa UWONGO Kwangu Mwisho Leo Na Nimekoma Na Hizi Simu Za Mkononi Hakika ZITATUKOMESHA Hadi TUJUTE Kwanini TUMEKUBALI Utandawazi Uje Tanzania.
Kulikoni?
Nimekuja Mara Moja Hapa Mkoani Dodoma Ktk Harakati Zangu Za Kutafuta Pesa Na Ktk Shughuli Zangu Nyingi Huwa Nakuwa Nashirikiana Sana Na Mwenzangu Ambaye Kwa Tamaa Zangu Na Kutaka Kupiga Dili Nililoliijia Huku Mwenyewe Sikumuaga Jana Wakati Natoka Dar Kuja Huku Na Hata Mara Ya Mwisho Jana Usiku Aliponipigia Simu Saa 5 Asubuhi Alijua Kuwa Mwanamume Nipo Jijini Kumbe Mwenzake Huo Muda Ndiyo Nilikuwa Naitafuta Morogoro Na Basi La KIMBINYIKO.
Kwa Kujua Kuwa Jamaa Yangu Huyu Muhimu Kweli Ktk Shughuli Zetu Sijamuaga Jana Na Mimi Nikaamua Kuuchuna Ili Tu Asijue Kama Nipo Nje Ya Dar. Sasa Uone Kwamba Dawa Ya Mwongo Ni Fupi Leo Saa 3 Kanipigia Simu Na Mimi Bila Kujua au Kushtuka Nikapokea Kwa Mikogo Na Bashasha Zote Na Kuanza Kuzungumza Nae. Jamaa Akaniuliza Nipo Wapi Sasa Nikamjibu Kuwa Nimekuja Mara Moja Tu Dodoma Ila Mchana Wa Leo Nageuza Kurudi Dar Nia Na Madhumuni Nimfiche Asijue Kuwa Nimekuja Kupiga DILI Huku Safari Hii Bila Kumshirikisha Yeye. Wakati Nikiendelea Kumjibu Na Yeye Akadakia Na Kusema Kwamba Hata Yeye Ametua Na Ndege Dodoma Muda Si Mrefu Hivyo Kama Vipi Nimwambie Nipo Wapi Ili Anifuate Na Gari Ili Mchana Huo Turudi Wote Dar.
Ili Kumzuga au Kuua So Kwa Aibu Baada Ya Kuona NIMEBUMBULIKA Nikajifanya Namwambia Kuwa Simsikii Vizuri Na Ghafla Nikamkatia Simu. Wakati Nikiwa Nimemkatia Simu NIKITAFAKARI Jamaa Akanitumia Meseji Kuwa Amekuja Na Yeye Mara Moja Kuonana Na Bosi Fulani Ila Jamaa Akaniambia Kuwa Kama Deal Ikiwa Done Basi Atanishirikisha 100%, Wakati Kumbe Na Mimi Ndiyo Nimekuja Kuonana Na Bosi Huyo Huyo Ili Niingie Nae MKATABA Wa DILI Fulani La Hela Ndefu Bila Kumshirikisha Huyu Mwenzangu.
Jamani Nimechanganyikiwa Kwani Sasa Sijui Nifanyeje Kwani:
WADANGANYIFU Wenzangu Naombeni Msaada Wenu TAFADHALI Ila Najiandaa Nikirudi Tu Dar Niende Kwa Baba Paroko NIKATUBU Dhambi Hizi Za UWONGO Wa Kutumia SIMU Na Vile Vile Amlaani ALIYETENGENEZA Simu Hizi Kwani ZINATUSABABISHIA Mno Matatizo Na DHAMBI Za MAKUSUDI Ambazo Kwa Hali Ngumu Ya Maisha Ya Sasa Ni Ngumu KUEPUKIKA.
Nawasilisha Na Jamaa Bado Tu Anaendelea Kunipigia Simu ILA Naogopa KUPOKEA Kwani SIJUI Nitamjibu Nini. Msaada Tafadhalini Jamani!

- Nikikionana Nae Ataniona Mimi Siyo MWAMINIFU Kwake.
- Nikiuchuna Inamaana Hilo DILI Atalipiga Mwenyewe.
- Na Nikisema Nirudi Dar Kimya Kimya Nitakuwa Nimeingia Hasara.
- Nisipoonana Na Huyo Bosi Inamaana Nakosa Hata Nauli Ya Kurudia Dar Ambayo Alinihaidi.