Kwanza kabisa UONGO NI MBAYA...natumaini umejifunza hilo na hutorudia tena.Kama ungemwambia mwanzo akakwambia hataweza kulea watoto wawili wasio wake mngeechana kabla mpenzi hayajatulia na hasara ya vyombo isingekuwepo.Sasa unaweza kumpoteza ukiwa tayari unampenda sana na hasara juu!!
Nwyz cha kufanya ni kutafuta sababu ya msingi ya wewe kumdanganya ndani yako mwenyewe...kama ilikua ni hofu ya kumpoteza then tafuta jinsi ya kumjulisha hivyo. Ikiwa unajutia kweli ulilofanya na una uhakika kwamba hutaki kumpoteza kaa chini umwandikie barua inayoeleza ni kwa kiasi gani unatamani ungemwambia tangu mwanzo...usivyotaka kumkosa maishani mwako...unavyomhitaji...unavyompenda na mengineyo hata kama mnaishi nyumba moja!!
Ikitokea akakusamehe na kuruhusu muendelee na mahusiano yenu basi bahati ni yako.Hapo mkalishe chini uongee nae kuhusu athari za kuruhusu hasira zake zimtawale mpaka kuharibu vitu....hasara sio yako ni yenu!!!Akishakuelewa kuhusu hilo ongea nae kuhusu malezi ya hao wanao wa mwanzo na wenu mtakaojaliwa ''NASISITIZA'' kuongea nae kuhusu malezi ya wanao hao ili kama hatopenda waje kuishi na wewe uwaache kwa mama zao au uwapeleke kwa bibi ili wasije wakanyanyasika hapo kwako.Kama hajafurahia kitendo cha wewe kua na watoto wawili kabla na vile ulivyomdanganya anaweza kuwaadhibu wanao kwa makosa yako wewe.
Kama walivyosema wengine hapo juu kwamba ''mama wa kambo si mama'' nakubaliana nao kwa kiasi flani japo najua kuna wanawake wenye roho nzuri out there...hivyo basi kama mtakubaliana waje kukaa na nyie itabidi uwe karibu sana na wanao kujua yanayoendelea wakati haupo ili uhakikishe hawanyanyasiki!!!
Aisee ushauri wa akili mhusika fanyia kaziIshu yako imenikumbusha mbali.
Hao watoto amewakuta asipanic sana. Wangekuwa wamezaliwa wakati mshaanza mahusiano ingekuwa mbaya zaidi.
Mwambie ulimficha ukihofu kuwa atakuacha na wewe unampenda, ukweli umejulikana hujui ufanyaje kwahyo mwamuzi ni yeye ila unajutia kwa ulichofanya.
Uwe mpole wakati unaongea.
Mikela kanipigia simu saa saba usiku, anasema bibie hataki kurudisha moyo wake nyuma.
Ahaaa ahaaa lolwazimu huo wa kula ugali kwa ndimu,kwani hao watoto ni wadogo kuliko umri wa uhusiano wenu au.
Labda hasira ndio zimemtuma kufanya hivyo lolSasa kwa nini akavunja vyombo? Kwa sababu ya hasira?
Labda hasira ndio zimemtuma kufanya hivyo lol
Lakini dada NK wanawake wa hivo ni waaminifu sana kwenye ndoa vitu nitanunua tu lakini hata nikisafiri mwaka na amani, halafu si mpaka nifanye kosa kubwa ndio anavunja vitu ?
Honesty is the best policy.
umewahi kusikia mwizi akiibiwa huwa anakuwa mkali sana?
I had the same feeling ila nikaogopa kumkwaza mtoa mada. Watu wasio waaminifu huwa ni wakali sana. Violance yake isikudanganye kuwa eti ni faithful.