sasa unadhani akimwambia ukweli kuwa anakaa kwa bibi nyau atamkubali?Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa.
Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza mbona hata kina Bakhresa huwa tunagongana kwenye Mabenki ? sawa hawakai foleni kama sisi lakini wanakuja na kuhudumiwa pale.
Mkuu kuna uwongo unaoweza kufanana na ukweli huoni hapa jamaa kazidisha ?sasa unadhani akimwambia ukweli kuwa anakaa kwa bibi nyau atamkubali?
Hahaha! atawaambia mashosti zake kampata Bill Gates wa Bongo lol!Hahah kuna sound nyingine watu wanarusha unashindwa hata kuelewa huyo anayeambiwa huwa analichukuliaje...na kesho bint anaenda kuwahadithia wenzake dah shida kweli kweli
Na akipinduka tu wanachukua number kumtafuta Bill Gate ila kuna sound ukizipanga unafaid sana nina mshkaj wangu anawapiga changa la macho sana...na hivi kajaaliwa dust bin(kitambi)wanamuona Bonge ya lofaHahaha! atawaambia mashosti zake kampata Bill Gates wa Bongo lol!
Unafikir ni kwa nini mtu asipojishebedua hapew kilaini?mpaka gharama ziwe juu ndo unapewasasa unadhani akimwambia ukweli kuwa anakaa kwa bibi nyau atamkubali?
Hahaha! sasa wewe mwenye magari/maghorofa buku 10 zinakuhuzunisha ? lol!usione hapa mjini nmepanga, ukienda kijijini kwetu nmejenga gorofa,nina magari...lakini wiki hii sina raha kabisa sababu nimekuta boss wangu kanikata elfu10 kwenye mshahara wangu.mia
usione hapa mjini nmepanga, ukienda kijijini kwetu nmejenga gorofa,nina magari...lakini wiki hii sina raha kabisa sababu nimekuta boss wangu kanikata elfu10 kwenye mshahara wangu.mia
Duh! mkuu uanze kusema za DFP bana lol!mi mabaa medi wanajua kila gari lenye pleti namba ya njano ni gari langu
Kuna jamaa tulikuwa tunacheza nae pool akawa anatongoza demu la ovyo tu mpaka kuchukua namba yake ya simu,baadae akapitiwa na mkewe warudi nyumbani wote tukabaki midomo wazi yaani bonge la mwanamke uzuri/shepu tukashangaa mtu ana kifaa hiki home anahangaika na wauza sukari yaani wanaume we acha tu.Siyo uongo wala nini..kila mwanamke baa anaonekana mzuri kuliko waifu nyumbani.
Safi Hus hujambo ?Uporoto mambo?
Safi Hus hujambo ?
Nashukuru, hebu nawe tuambie uongo uliowahi kuusikia kwa mwanaume.sijambo...
Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa.
Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza mbona hata kina Bakhresa huwa tunagongana kwenye Mabenki ? sawa hawakai foleni kama sisi lakini wanakuja na kuhudumiwa pale.