Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.
Ukweli siku zote humuweka mtu huru, na uongo ni sawa na kujifunga minyororo ya utumwa.
Mwambie ukweli ili uwe huru.
Jaman nilikutana na mtu
nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu
nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious
namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje
kumwambia ukweli hadi naogopa.
Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.
Jikune unapowashwa,usipowashwa ukijikuna utachubuka.............!He he he.......mchana kuku alipewa mchele........jioni kachinjwa kaliwa na wali.......