Uwingi wa damu mwilini

asante mkuu,,kumbe nihiyo mbon nmeishaitumia nilipoishiwa dam mara yakwanza lakn wap cjaona mabadiliko

Mkuu pole sana, naona una tatizo la msingi. Haiwezekani uhangaike hivyo alafu usipate suluhisho. Nakushauri tafuta hospitali au maabara unayoiamini, fanya vipimo vyote muhimu kwa mwili wako ili ujue kama una ugonjwa nyemelezi ambao unasababisha hilo tatizo. Ni vizuri ukashughulikia tatizo lenyewe kuliko matawi.
 
je ukiwa na moyo mkubwa nalo nitatizo lakupunguza dam?
 
Hapana Blood Group ni zile za ABO e.g A,B,AB na O zinaweza kuwa -ve au +ve e.g A+ au A-!
Watu wengi ni Blood Groups zilizo +ve.
mkuu haematologist swala LA damu kuwa nyingi Mara nyingi halina medical important, swala la damu kuwa nzito kidogo Nina ukakasi nalo uki niambia platelet's zikiwa nyingi au other blood clotng factor zikiwa higher kama factor iii kidogo ta kuhelewa swala la stroke na HB pia lina nipa ukakasi dadavua kidogo niku some hematologist .

credit kwako umefafanua vizur,
 
Ata mimi damu imepungua alafu natumia dawa za asidi mwezi sijui ni kisababishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vingine vingi vya kupunguza damu ambavyo hujapima , minyoo, hematological malignancies, multiple myeloma fika hospitali kubwa wafanye vipimo vya kutosha FBP peke ake haitoshi.
Mkuu kwa Dar es salaam ni hospital zipi zinaweza kupima hayo mambo kwa usahihi zaidi?
 
Zipi dalili za damu nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…