Naomba kujuzwa, uwingi wa damu mwilini rating zake huwa ikoje?
Nimekuwa nikisikia kuwa kwa mtu wa kawaida isipungue 12 au 13...
Umenikumbusha mbali sana hizo terminology anyway umeeleza vizuri mkuuwingi wa damu au kwa lugha ya kitabibu ni Haemoglobin(Hb)!
Kipimo chak huwa katika SI Units za gm/dl i.e grams per deciliter...
MIMI pia mkuu damu inapungua nmepima sicklecell sina nimeongezewa damu mara nne na sasa naona dalili zilele kuchoka moyo kwend kasi, kizunguzungu nikiamka au kuchuchumaa kwa mda mref...X-ray nilipiga ikaonyesha moyo umekuw mkubwa pia FBP nimepima iko normal,,,,sas damu inapungua nann.. matunda mboga za majan nmekula sana yaan nmefata ushaur wa daktar lakn bado tu...nisaidien wakuu
ugonjwa nilionao kwa sasa nikwenye viungo kama mikononi kwenye maungio nasikia kama vtu vnasagana pia mgongo ukikaa kdogo ukijinyoosha unasikia kha kha kha kwenye kiuno pia hata kweny vdole vya miguu na mikononhauwezi kuwa na ndamu ndogo afu FBP ikaonesha iko normal!
Walau kipengele cha Hb kitakua chini!
Lazima kuwepo na sababu kwa nn damu yako inakaa chini!...
pia mkuu nifahamishe folic acid inahusu nn?? pamoja na uhusiano na damuhauwezi kuwa na ndamu ndogo afu FBP ikaonesha iko normal!
Walau kipengele cha Hb kitakua chini!
Lazima kuwepo na sababu kwa nn damu yako inakaa chini!...
Pia mkuu vp kuwa na moyo mkubwa kunaongeza upungufu wa damu kwa maana hili tatzo ni la mda mrefu,, yaan unasikia moyo umelipuka ghafla au unasikia kitu knachoma kweny moyo kama kchomi flanhauwezi kuwa na ndamu ndogo afu FBP ikaonesha iko normal!
Walau kipengele cha Hb kitakua chini!...
wingi wa damu au kwa lugha ya kitabibu ni Haemoglobin(Hb)!
Kipimo chak huwa katika SI Units za gm/dl i.e grams per deciliter...
dah kwel binadam tunatofautiana,,yaan wewe unahitaj kupunguza damu mm nahita iongezeke dohAsante sana mkuu umekata kiu yangu. Mimi ni mwanaume, na nimepima nikaambiwa nina 17.4, na yule aliyenipima akaniambia damu yako ni ya kutosha sana. Kilichonipeleka kwenda kupima nilikuwa nahisi kuchoka, kichwa kinauma, alafu sina malaria ndo niaamua kupima uwingi wa damu.
Kwa hiyo kwa lugha rahisi natakiwa nipunguze damu siyo?
Kuna vingine vingi vya kupunguza damu ambavyo hujapima , minyoo, hematological malignancies, multiple myeloma fika hospitali kubwa wafanye vipimo vya kutosha FBP peke ake haitoshi.MIMI pia mkuu damu inapungua nmepima sicklecell sina nimeongezewa damu mara nne na sasa naona dalili zilele kuchoka moyo kwend kasi, kizunguzungu nikiamka au kuchuchumaa kwa mda mref...X-ray nilipiga ikaonyesha moyo umekuw mkubwa pia FBP nimepima iko normal,,,,sas damu inapungua nann.. matunda mboga za majan nmekula sana yaan nmefata ushaur wa daktar lakn bado tu...nisaidien wakuu
Moyo mkubwa umefanya kipimo gani kikaonesha hivo!Pia mkuu vp kuwa na moyo mkubwa kunaongeza upungufu wa damu kwa maana hili tatzo ni la mda mrefu,, yaan unasikia moyo umelipuka ghafla au unasikia kitu knachoma kweny moyo kama kchomi flan
pia mkuu nifahamishe folic acid inahusu nn?? pamoja na uhusiano na damu
nmepiga xray mkuu pia dokta ameniambia nlazima tuchek na ECHO kpimo cha moyoMoyo mkubwa umefanya kipimo gani kikaonesha hivo!
Hizo dalili zinaonesha una Ischemic heart disease.
Nenda kachangie damu kwenye bank ya damu muhimbili ...alafu fanya mazoezi walau nusu saa kwa siku kukimbia,kuruka kamba nkAsante sana mkuu umekata kiu yangu. Mimi ni mwanaume, na nimepima nikaambiwa nina 17.4, na yule aliyenipima akaniambia damu yako ni ya kutosha sana. Kilichonipeleka kwenda kupima nilikuwa nahisi kuchoka, kichwa kinauma, alafu sina malaria ndo niaamua kupima uwingi wa damu.
Kwa hiyo kwa lugha rahisi natakiwa nipunguze damu siyo?
Nimependa ulivoelezea mkuu.. Nina kaswali kidogo... Je Hio Hb inahusiana na blood group??wingi wa damu au kwa lugha ya kitabibu ni Haemoglobin(Hb)!
Kipimo chak huwa katika SI Units za gm/dl i.e grams per deciliter
Kazi ya Haemoglobin ni kubeba Oxygen kwenda sehemu mbali mbali za mwili na kiungo muhimu kinachoitaji Glucose na Oxygen nyingi ni Ubongo ila hata misuli huitaji oxygen ili kuunguza glucose ili uweze kupata Nguvu e.g Hata gari uitaji air/oxygen kuunguza Mafuta ili gari lipate nguvu ya kutembea...
nmepiga xray mkuu pia dokta ameniambia nlazima tuchek na ECHO kpimo cha moyo
Nimependa ulivoelezea mkuu.. Nina kaswali kidogo... Je Hio Hb inahusiana na blood group?
Cc Smart911