uwiiiiiiii radi zimeanza.

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
shime shime, nduguzangu wa mabondeni, mziki wa radi ndo huooooo umekolea masikioni na mwanga wa radi ucpime.
Mungu atunusuru na janga hili

Chukua tahadhali
 
acha uwoga hiyo ni miale ya makombola ya mapambano kati ya kenya na al-shabab
 
pande za mbagala mbele huko ni mwanga wa radi mithili ya flush za washabiki wa WWE wakimpiga picha the rock aliporudi dimbani after 7yrs of absence. usiku watu wataelea tuuu
 
maeneo ya bunju, bagamoyo inanyesha mvua kubwa. Eee Mungu tusidie.
 
pande za mbagala mbele huko ni mwanga wa radi mithili ya flush za washabiki wa WWE wakimpiga picha the rock aliporudi dimbani after 7yrs of absence. usiku watu wataelea tuuu

sijaangalia WWE muda mrefu nipe mambo yaliyojiri huko!
 
Fungulia mziki kwa sauti ya juu, hutazisikia.
 
Lol naogopa hiyo kitu
radi aghrrrrr
af leo sjapiga kestolait ndo usingz
bas tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…