Uwiii mbavu zangu

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,218
Reaction score
1,987
Kijiswali kinanisumbua!

Kinyozi alikuwa na saluni yake gorofani, akaamua kuhamia chini maana wateja wanapata tabu kupanda na kushuka ngazi, akaweka tangazo:

'KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI'

Wateja wakamkimbia, je kosa lake lipi?
 
Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii
 
Hah hah, angeenda baraza la kiswahili (BAKITA) wamsaidie kuandika bango lenye kiswahili kisicho na ukakasi, ona sasa wateja wamekimbia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…