OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mkuu umeelezea vizuri! Embu nisaide chanzo ktk hali ifuatayo:-
X na Y wanapendana sana! Wanachat vizur, maongezi yao ya kupendeza kwakweli! Kila mmoja anapenda uwepo wa mwenzie, lakini wakifika 6 kwa 6 yule Y (ke) ananyong'onyea kabisaaaa! Yaani gogo la ukweli! Unapiga kiki hata kujishikilia mwenyewe hawezi! Na ukipiga kimoja tu, hatoi tena!
Can you be a little specific?
Kutoendana kitandani unamaanisha nini?
1. Nguvu ya mchezo?
2. Mahitaji/hamu ya mchezo?
3. Size ya viungo vya mchezo?
4. Style/namna/beats za mchezo?
au?
Maana kwa maoni yangu kila kimoja kati ya vina athari (-&+) tofauti.
mi hapa ndo unaponimalizaga hakuna kutafuna maneno!Inatokea, na inaweza ikawa kwa mtu yule yule ambaye siku zote anakuliza kwa utamu.
kichwa nyingine sifuri hii hapa!ipo sana, ndio maana ni muhimu kuonjana jamani kabla ya ndoa. lol,
Mnavyopenda ayo makitu(addiction)sidhankuna mda unataka tu mwenzio amalize basi
Mmmh!!Mkuu siwezi kujibu kama one plus one juu ya hili as binadamu tunatofautiana sana kwenye response to our stimuli kuna ambao anataka yeye ashughulikiwe tu apate scores basi,kuna ambaye anataka akushughulikie wewe kwanza yeye bdae na kuna anayetaka mwende hatua kwa hatua mpaka mfike ukumbini pamoja!!!! Nadhani aweza kuwa kati ya wapendao kufikishwa na yupo so emotionally weak that akifika mshindo ni mpaka usingizi,wa hivi akikutana na wewe mpenda ligi yaani gonga huku nipige pale kuna hii nikwaruze ile aaaaargh atakuboa tu must!!!!!!!!!! Wadada wataongezea mkuu
Upumzike!hapa nahisi ni sababu kubwa kuna mda unataka tu mwenzio amalize basi
Upumzike!
Kuna muda kichwa inakuwa full na madhila ya dunia unaingia tu uwanjani kukamilisha ratiba.
Ewaaa!
Yani kule kule bishosti!
Dada @Kaunga njoo huku. Yani unakuta mlikuwa wote ghafla mdada ndo anafikia hapa na mmeanza vizuri tu. Yani bora liende afadhali kufika
Mkuu siwezi kujibu kama one plus one juu ya hili as binadamu tunatofautiana sana kwenye response to our stimuli kuna ambao anataka yeye ashughulikiwe tu apate scores basi,kuna ambaye anataka akushughulikie wewe kwanza yeye bdae na kuna anayetaka mwende hatua kwa hatua mpaka mfike ukumbini pamoja!!!!
Nadhani aweza kuwa kati ya wapendao kufikishwa na yupo so emotionally weak that akifika mshindo ni mpaka usingizi,wa hivi akikutana na wewe mpenda ligi yaani gonga huku nipige pale kuna hii nikwaruze ile aaaaargh atakuboa tu must!!!!!!!!!!
Wadada wataongezea mkuu
Can you be a little specific?
Kutoendana kitandani unamaanisha nini?
1. Nguvu ya mchezo?
2. Mahitaji/hamu ya mchezo?
3. Size ya viungo vya mchezo?
4. Style/namna/beats za mchezo?
au?
Maana kwa maoni yangu kila kimoja kati ya vina athari (-&+) tofauti.
No 1,3...iko nje ya uwezo wangu, bt 2,4 ...hakuna linaloshindikana