Uwiano katika mahusiano

Uwiano katika mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,147
Reaction score
55,635
Uwiano katika mahusiano ni kitu kisichoepukika, kama unataka kufurahia mahusiano yako.
  • Mwanamke mnene anatakiwa awe na mwanaume mwembamba
  • Mwanamke mwembamba anatakiwa awe na mwanaume mwembamba na mrefu
  • Mwanaume mfupi anatakiwa awe na mwanamke mnene
  • Mwanaume mrefu anatakiwa awe na mwanamke mwembamba
  • Mwanamke mfupi anatakiwa awe na mwanaume mfupi
  • Mwanaume mwenye kitambi anatakiwa awe na mwanamke mfupi na mwembamba
Ni vizuri na muhimu kufuata huu uwiano kwa sababu unaendana na ukubwa wa vitendea kazi mlivyonavyo, ukienda tofauti na hapo; utajikuta unaeleaelea au kupwaya kwenye kitendea kazi cha mwenzako.
 
Back
Top Bottom