Huu ni ujinga hapa mataa ya Sr. Peters trafiki katuzuia nusu saa nzima a hatuelewi sababu. Huu ni ujinga na apimwe akili. Kwani nani mwenye haki ya njia hii?hata huko mbele peupe tu.
Pole, najua una haraka. Naamini wewe sio mgeni wa jiji hili, ukitaka kuwahi jipange vizuri. Hao wanapata maelekezo ya viongozi wao na ukizingatia hapo ulipo.
Huu ni ujinga hapa mataa ya Sr. Peters traffik katuzuia nusu saa nzima a hatuelewi sababu. Huu ni ujinga na apimwe akili. Kwani nani mwenye haki ya njia hii?hata huko mbele peupe tu
Aisee kuna traffic pale stop over anaitwa Juma, yule anakera sana. Kila siku asubuhi huwa anatengeneza foleni kuanzia stop over kwa kuzuia magari yanayotoka town kwenda mbezi eti anaruhusu gari zinazotokea old moro road pale stop over kwa zaidi ya dakika hata 20 na kusababisha foleni muda mwingine ina stretch mpaka bucha..
Cha ajabu asipokuwepo wala hakuna foleni na magari yanatembea kawaida kabisa. Sasa huyu jamaa kibonge Juma sijui huwa anapewa maagizo na mkubwa wake wa kazi au ni akili finyu tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.