Uwezo wa kujieleza mbele ya watu....

Sorry natoka nje ya mada Rebeca, what do you do for a living?
 
Kujielezea mbele ya public ni kama Kansa kwa watoto wetu na proffessionals hapa Tz, hii hupelekea mpaka wahitimu na hata tukifikia umri mkubwa makazini Ku struggle ktk presentations etc, Tuamke sasa na kubadilisha mfumo wetu wa elimu tokea ktk early learning, pia tuwape Uhuru watoto wetu kuongea na tusiwabane.
 
I don't think so,life changes na haimaanishi kumjengea mtoto uwezo wa kujieleza atakua nao milele,NO!
 

Mbona hayo yanafanyika; mfano, debates i.e. motion, role play, reading in front of the class. Universities and colleges kuna presentations kwenye seminars.

Pia kuna techniques za kumudu kuongea mbele ya watu mfano kuvuta pumzi ndefu na kuiachia taratibu endapo unaona dalili za kuwa nervous zaidi kwa sababu average nervousness ni muhimu kwa ajili ya energy. Training ya 'communicating with confidence' and 'presentation skills' zinasawazisha kila kitu.
 
Kuongea umbea na mechi za EPL wanaweza ila on serious business hawawez...this is a piece of joke...kikubwa katika kujenga kujiamini ni kuelewa pasi na shaka kile unachokifanya kwanza..the rest is secondary... Nna boss wangu ni muoga cjawai ona presentation zoote nafanya Mimi and I like that maana wakubwa wananiona soon ntambwaga
 

its ok mkuu,

I just think,ukimcoach mtoto kuanzia anakua then atakua na confidence ya kuongea mbele ya watu,

Then,huko juu itakuwa ni muendelezo tu,basics anazo,

Nadhani watu wawili,mmoja akiwa coached toka utotoni,kuongea na hadhira,na mwingine kasomea technics ukubwani,still utaona utofauti,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…