Uwezo wa kudadavua mambo

Kuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa na vya ndani....ukishakuwa na habari ni rahisi kuitetea
 
kawa wadau walivyokwambia soma sana vitabu tofauti tofauti kulingana na nn unataka kujifunza, kujichanganya na watu waliokuzidi uwezo ni muhimu sanaa.. na sio vitabu tu articles nk
 
Teh... Naona mdg etu anauliza hapa!
Nadhan ajitahidi kusoma
Aanze na Routledge series kwanza, akimaliza, nitamuazima vitabu vyote vya Harvard Classics, akimaliza nitamuazima vitabu vyote vilivyoandikwa na waliopata Nobel ya Literature, akimaliza nitamuazima vitabu vyote vilivyoshinda Pulitzer.

Akimaliza hapo alete mrejesho hapa.
 
Ubarikiwe kaka,shukrani mnooo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Penda kusoma vitabu na kufuatilia mijadara mbalimbali kama ulivyosema hapo ya michezo, siasa nk

Hata kwenye mitandao ya kijamii fatilia kwa ukaribu hayo.

Huwezi kuwa mfatilia udaku wa insta 24/7 uje kuchambua siasa/michezo
 
Nimeanza kufanya hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…