Multdealer
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 226
- 233
Mi sina hizo mkuu,kama una madini kuhusu hiyo issue mwagika bossIli iweje maana wengine wakishajua wanaona wao ndio wanajua kila kitu
[emoji16][emoji23][emoji23] huu uchochez bossMuda mwingine inatokana iq ya mtu,kuna watu automatically wamezaliwa hivyo so usi complain sana. Jambo la msingi ni kuutumia muda wako vizuri kufikiria katika maswala chanya. Sometimes jaribu kujipa task mwenyewe mfano kama una boyfriend unaempenda jaribu kumkera alafu utengeneze mazingira ya kumuweka sawa [emoji2] hiyo pia itakuongezea umahiri wa ku criticize mambo.
Ila nashukuru kwa mchango wako[emoji1545]Muda mwingine inatokana iq ya mtu,kuna watu automatically wamezaliwa hivyo so usi complain sana. Jambo la msingi ni kuutumia muda wako vizuri kufikiria katika maswala chanya. Sometimes jaribu kujipa task mwenyewe mfano kama una boyfriend unaempenda jaribu kumkera alafu utengeneze mazingira ya kumuweka sawa [emoji2] hiyo pia itakuongezea umahiri wa ku criticize mambo.
Tukija katika elimu ya nyota Kila mtu ana majukumu yake ya kufanya na Kaz za kufanya na ndio maana unaweza ukawa katika Kaz husika hufanikiw au misusuko mingi ukajua umerogwa kumbe nyota imefeliHabari,
Mimi ni kijana mdogo kabisa,lakini kuna tatizo lina ni sumbua sana na si lingine bali uwezo mdogo wa kudadavua mambo,kama siasa,uchumi,michezo na mengineyo.
Huwa natamani sana kuwa mtu mwenye uelewa wa masuala kama hayo niliyo ya ainisha hapo juu,Lakini nashindwa.
Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu ni mambo gani niwe nafanya kila siku kuanzia ahsubuhi hadi jioni yatakayo nipa uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mtu maarufu ninaye mtazama katika hili ni Ramadhan Mbwaduke,Nataman kuwa kama huyu mzee,yani yuko fit kwenye michezo,siasa na masuala tofaut tofaut ya kijamii.
Nashukuru kwa muda wako,
Karibu kwa ushauri.
Mkuu subiri kwanza!!Tukija katika elimu ya nyota Kila mtu ana majukumu yake ya kufanya na Kaz za kufanya na ndio maana unaweza ukawa katika Kaz husika hufanikiw au misusuko mingi ukajua umerogwa kumbe nyota imefeli
Kwahyo inaonekana huo ukanda unaoutaka sio wako
Ubarikiwe boss,Naahidi kufanyia kazi haya madiniSoma sana, jichanganye na watu wenye uwezo sana. Tumia muda mwingi kujifunza.
Watu wengi wanaoonekana wanajua wamefanyia kazi uwezo huo.
Nashukuru boss,ntafanyia kaziSoma Sana vitabu mbalimbali,narudia soma Sana....pamoja na majarida mbalimbali
Sikupingi boss,sasa nawezaje kujiondoa ktk hiyo nyota ya kuwa dhaifu kichwani?au ndo basi tenaTukija katika elimu ya nyota Kila mtu ana majukumu yake ya kufanya na Kaz za kufanya na ndio maana unaweza ukawa katika Kaz husika hufanikiw au misusuko mingi ukajua umerogwa kumbe nyota imefeli
Kwahyo inaonekana huo ukanda unaoutaka sio wako
Basi Tena, ulizaliwa tarehe na mwezi gani?Sikupingi boss,sasa nawezaje kujiondoa ktk hiyo nyota ya kuwa dhaifu kichwani?au ndo basi tena
Mr.purpose,Mkuu subiri kwanza!!
Mtoa mada huu ushauri tulia kwanza, we cha kufanya penda kusoma vitabu sana vya aina tofautitofauti bila kusahau makala tofautitofauti, pitia platforms nyingi za majadiliano ya hayo unayotaka kuyajua kiundani mfano jf, Quora na nyingine halafu ukiwa unaongea na mtu yeyote jitahidi kutumia lugha fasaha na maneno yenye mashiko (siyo hizi lugha za mtaani, usizoee sana kupitiliza, always cheza na mazingira na watu wanaokuzunguka).
Penda kujichanganya na watu wanaozungumza yale unayoyapenda hii inaweza kupa nafasi ya wewe kuwa mwalimu (kusikilizwa mwanzo mwisho na hii itakuongezea confidence) au kuwa mwanafunzi kwa kujifunza kutoka kwao.
Huyo mhusika uliyemtaja kama role model wako hakikisha unamsikiliza na kumfuatilia mara kwa mara utapata mbinu mbalimbali za uwasilishaji wake.
Usiwe muongeaji saana, hapana! Always ongea pale unapolazimika kuchangia kitu na kila ukitoa kiwe na mashiko.
Soma, soma, soma, soma, soma, soma, soma, soma.............
BRO SOOMA!!
Halafu ukimaliza sasa njoo usikilize huu ushauri wa nyota kisha jithathmini. (Usiamini sana haya coz you have a power to become whoever you wish once you're highly self determined)
Good luck mkuu
5/5Basi Tena, ulizaliwa tarehe na mwezi gani?
Jitahidi kusoma Vitabu mbalimbali na kufuatilia mijadala mbalmbali,documentaries,biographies, hii itakujenga siku moja utakua MDADAVUZI mzuri sana wa masuala kama WADADAVUZI wengine nguri.Habari,
Mimi ni kijana mdogo kabisa,lakini kuna tatizo lina ni sumbua sana na si lingine bali uwezo mdogo wa kudadavua mambo,kama siasa,uchumi,michezo na mengineyo.
Huwa natamani sana kuwa mtu mwenye uelewa wa masuala kama hayo niliyo ya ainisha hapo juu,Lakini nashindwa.
Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu ni mambo gani niwe nafanya kila siku kuanzia ahsubuhi hadi jioni yatakayo nipa uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mtu maarufu ninaye mtazama katika hili ni Ramadhan Mbwaduke,Nataman kuwa kama huyu mzee,yani yuko fit kwenye michezo,siasa na masuala tofaut tofaut ya kijamii.
Nashukuru kwa muda wako,
Karibu kwa ushauri.
Ahsante boss,Nitaanzia hapoJitahidi kusoma Vitabu mbalimbali na kufuatilia mijadala mbalmbali,documentaries,biographies, hii itakujenga siku moja utakua MDADAVUZI mzuri sana wa masuala kama WADADAVUZI wengine nguri.
Upo?Soma sana, jichanganye na watu wenye uwezo sana. Tumia muda mwingi kujifunza.
Watu wengi wanaoonekana wanajua wamefanyia kazi uwezo huo.