Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,919
- 2,547
Nifundi sana wakupiga kiswahili. Anakua na tabia yakujifanya mnyenyekevu lakini wizara hiyo imeshinda.Uzuri MaSamia anafuatilia humu kwa ukaribu wake, na alishampiga mkwara kwa ofisi yake ya utumishi wa umma kuchelewesha mchakato.
Atapigwa chini kama Ndaki na team yake yote kwa kushindwa kazi.
Huyo maza kupigwa kwake chini ni kuamishwa wizara.Uzuri MaSamia anafuatilia humu kwa ukaribu wake, na alishampiga mkwara kwa ofisi yake ya utumishi wa umma kuchelewesha mchakato.
Atapigwa chini kama Ndaki na team yake yote kwa kushindwa kazi.
Nikweli Mchengerwa aliimudu wizara hata watumishi waliinjoi uwepo wa huyo waziriNifundi sana wakupiga kiswahili. Anakua na tabia yakujifanya mnyenyekevu lakini wizara hiyo imeshinda.
Waliowengi wanatamani Mchengerwa arudi
Sema jambo mkuu😁😁Mimi ngoja nichague tu kunyamaza. 😷
Kwanini mkuu. Au huna mwanasheriaMimi ngoja nichague tu kunyamaza. 😷
Mkuu wa Wilaya ana uwezo gani wa kusimamia hay mambo anayo waagiza? Au anajisahau na kudhani labda anaongea na Wakurugenzi?Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.
Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya wakasimamie nidhamu kazini, kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma na kushuhulikia malimbikizo.
Hivi Mhagama anaona watanzania wanaomsikiliza nimazuzuz? Hao wakuu wa wilaya watapandishaje mishahara wakati bajeti mnatengeneza nyie? Malimbikizo unawatuma wakuu wa wilaya wakati unakutana na waziri wa fedha kila wakati. Kwanini usiwaambie hazina?
Nimemchekiiiiiii kisha nikajisemea hivi huyu mwanasiasa anachukuliaje watanzania wenzie?
Ni mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,Huyu Jenista ni Mwanasiasa na wala sio mtendaji sijui hata watu wa jimbo lake wanamchuaje mtu kama huyu. Alitoa maagizo ya kushughulikia wale waliogoma kuwa wakui wa Wilaya nikajisemea huyu JM ni tatizo.
Lugha za kisiasa tu hizo mkuu. Ukizielewa haziwezi kukuumiza. Wewe unadhani anazungumza asichokielewa?Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.
Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya wakasimamie nidhamu kazini, kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma na kushuhulikia malimbikizo.
Hivi Mhagama anaona watanzania wanaomsikiliza nimazuzuz? Hao wakuu wa wilaya watapandishaje mishahara wakati bajeti mnatengeneza nyie? Malimbikizo unawatuma wakuu wa wilaya wakati unakutana na waziri wa fedha kila wakati. Kwanini usiwaambie hazina?
Nimemchekiiiiiii kisha nikajisemea hivi huyu mwanasiasa anachukuliaje watanzania wenzie?
Apelekwe wizara gani ambayo ataiweza?huyo anaenda ki NGEKEWA TU.uwezo mdogo sana!!Huyo maza kupigwa kwake chini ni kuamishwa wizara.
Si anajua kuwa watumishi ni team kondoo?Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.