Uwezo/mamlaka ya Kamati ya haki, kinga na madaraka ya Bunge kisheria dhidi ya watuhumiwa

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Wanajukwaa, tujadili hili, ni yapi mamlaka au uwezo wa kamati ya haki kinga na madaraka ya bunge kisheria dhidi ya watuhumiwa?

Kufungua mjadala nanukuu maneno ya Mh. Zitto Kabwe anasema " Kamati hii ina mamlaka ya kimahakama na inaweza kumfunga mkaidi".

Karibuni tujadili
 
Alichosema Mh. Zito ni sahihi, Kamati hiyo ikikuita ukashindwa kwenda inamamlaka ya kuagiza Askari ukakamatwa na kupelekwa mbele ya kamati hiyo, Pia inaweza kukuhukumu jela. Kifupi inauwezo wa kimahakama
 
Iyo kamati iliwahi kumfunga nani?basi litakuwa si bunge bali bunge litakuwa mahakama.
 
Ilo bunge linapewa hela na muhimili serikali, bila serikal hawapati posho

Hiyo kamati ina watu kama 15 , .... 9 ni ccm, mkuu JPM akivuta waya wanafyata

Andrew Chenge alishawahi kuigomea hiyo kamati na haikumfanya kitu, itakuwa PAUL MAKONDA isaka wa JPM?

RAIS AU MUHIMILI ULIOCHIMBILIWA CHINI ZAIDI UNA MAMLAKA YA KUIFUNGA MDOMO HIYO KAMATI, ndio maana Hata Makonda hana hofu, ndio kwanza yupo kwenye maandalizi ya AWAMU YA 3 ,na ameshapewa Go ahead

BAVICHA ENDELEENI KUSUBIRI MAKONDA KUWAJIBISHWA ITAKUWA SAWA NA KUSUBIRI MELI AIRPORT
 
Sikulaumu, uwezo wako wa kufikiri unalingana na muhimili uliojichimbia chini.
 
Ilo bunge linapewa hela na muhimili serikali, bila serikal hawapati posho

Hiyo kamati ina watu kama 15 , .... 9 ni ccm, mkuu JPM akivuta waya wanafyata

Andrew Chenge alishawahi kuigomea hiyo kamati na haikumfanya kitu, itakuwa PAUL MAKONDA isaka wa JPM?

RAIS AU MUHIMILI ULIOCHIMBILIWA CHINI ZAIDI UNA MAMLAKA YA KUIFUNGA MDOMO HIYO KAMATI, ndio maana Hata Makonda hana hofu, ndio kwanza yupo kwenye maandalizi ya AWAMU YA 3 ,na ameshapewa Go ahead

BAVICHA ENDELEENI KUSUBIRI MAKONDA KUWAJIBISHWA ITAKUWA SAWA NA KUSUBIRI MELI AIRPORT
Mhimili mmoja umejichimbia chini zaidi, mkuu hataki kufananishwa :D:D
 
Ni ukweli uliodhahiri wabunge mda huu wamechanganyikana.nadhani kila mmoja sasa anaangalia mbele siyo kwa mkuu,maana wanajua atawafanya washindwe kutetea majimbo yao baadae. " kama mkuu anaona bunge linamkwamisha alivunje aitishe uchaguzi tena"
 
Back
Top Bottom