Kama ni Dodoma fika Benki ya Akiba pale Independence au muone CityBoy hapo hapo Jirani kwani ndiye ajent wa hizo Bajaj, pia hapo jirani kuna gereji za Bajaj utapata zilizotumika hata kwa 4.5m
USHAURI
Biashara ya Bajaj kwa sasa si biashara tena na hasa kwa mtoto wa Kike.
Madereva wote wameshajipanga, hawatakuletea pesa uliyoipanga na km akifikia 15,000/ lazima siku za mapumziko atakuambia ni 2 (moja service pili mapumziko)
hakuna faida labda wewe uendeshe wewe mwenyewe mtoto wa Kike