Moja kwa moja niende kwenye mada, hapa ni TV ambayo ilianguka, ikapasuka kioo cha juu na display pia(kioo cha ndani) sasa je kuna uwezekano wa kupata spare zake kama ilivyo kwenye simu? Pia ni gharama ziko vipi?