Usumbufu tu! Halafu basi nadhani lengo la kuhama ni kwaajili ya kuboresha,waliona madishi hayauziki ila dekoda ndio zinauzika tu,baada ya kutambua tunaweza kuunganisha Intelsat 906 at 64.2 E' na NSS 12 at 57.0 E' katika madishi ya kawaida yaliyoenea zaidi.